FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Bila shaka , moja wapo unazungumzia mgawanyo wa mali sivyo? Je, upi uhalali wa mtu kudai mgawanyo wa mali zisizo katika jina lake, yaani anakuwaje na mchango katika gari ambalo jina lake halipo, kama alichangia si inapaswa kadi iwe na majina ya wote waliochangia kulinunua?Sheria zisizo na usawa zinachochea Team Kataa Ndoa kupata uungwaji mkono na Watu wengi
Bila shaka , moja wapo unazungumzia mgawanyo wa mali sivyo? Je, upi uhalali wa mtu kudai mgawanyo wa mali zisizo katika jina lake, yaani anakuwaje na mchango katika gari ambalo jinalake halipo, kama alichangia si inaoaswa kadi iwe na majina ya wote waliochangia kulinunua?
suala la msingi ni kuwa na 'prenuptial agreement' kabla ya ndoa.Bila shaka , moja wapo unazungumzia mgawanyo wa mali sivyo? Je, upi uhalali wa mtu kudai mgawanyo wa mali zisizo katika jina lake, yaani anakuwaje na mchango katika gari ambalo jina lake halipo, kama alichangia si inapaswa kadi iwe na majina ya wote waliochangia kulinunua?
Kama mchango wake ni kufua, kupika, na kuosha vyombo, basi ahakikishe analipwa malipo yote stahiki kwa kazi hiyo papo hapo. Shida ni kwamba, anafua , kupika, na kuosha vyombo kwa ajili yake mwenyewe na watoto wake mwenyewe wa kuwazaa, sasa atalipwa na nani kwa kitu anachojifanyia mwenyewe?. Yaani ni kama fundi ajenge nyumba yake mwenyewe halafu adai tena pesa ya ufundi.
Sheria zifanyiwe maboresha, je, kwa namna gani?
Je, prenuptial agreement inabatilisha (forfeit) haki za kimsingi zilizoainishwa kwenye sheria ya ndoa au inakuwaje? Na Je, Prenuptial agreement inatambulika kikatiba kwenye sheria ya ndoa? Nimeisoma sheria ya ndoa, sijaona neno ‘Prenuptial agreement’ popote pale, au labda nilisoma kwa haraka sikuona; ufafanuzi tafadhali..suala la msingi ni kuwa na 'prenuptial agreement' kabla ya ndoa.
suala la msingi ni kuwa na 'prenuptial agreement' kabla ya ndoa.
Kwa Tanzania sidhani kama Prenuptial Agreement inatambulika kisheria, nadhani bado haijawa effected. Lakini nadhani ni jambo MUHIMU SANA KUZINGATIWA kwa wakati wa Sasa hapa Tanzania, ni muhimu mno. Wanaume wengi sana wamekuwa wahanga wa kudhulumiwa Mali zao na Wanawake watalaka wao ambao wamekuwa wakufunga 'ndoa za kimkakati' za kutafuta Mali kupitia 'utapeli wa ndoa.'Je, prenuptial agreement inabatilisha (forfeit) haki za kimsingi zilizoainishwa kwenye sheria ya ndoa au inakuwaje? Na Je, Prenuptial agreement inatambulika kikatiba kwenye sheria ya ndoa? Nimeisoma sheria ya ndoa, sijaona neno ‘Prenuptial agreement’ popote pale, au labda nilisoma kwa haraka sikuona; ufafanuzi tafadhali..
Na je, unajua ni kwanini wanandoa wengi hawafanyi hiyo ‘Prenuptial agreement’?
Sasa kwanini vijana wanao zalisha wanawake bila ndoa wanasumbuliwa kila kukicha kwamba wafunge ndoa? Maana yake ni kwamba ndoa ni kitu muhimu katika ustawi wa familia na jamii kwa ujumla. Shida ni sheria ya KITAPELI iliyotunhwa enzi za ujima na kwa sasa imekuwa mwiba mkubwa kwa wanaume wanaotaka kufunga ndoa. Sheria iboreshwe, je; iboreshwe kwa namna ipi?Ndoa zikiwa nyingi faida gani taifa linapata ? Na zikiwa chache hasara gani taifa linapata ?
kuishi na mke/mume wa ndoa kuna faida zake lakini kwa baadhi ya familia zinachukulia mahusiano ya ndoa kama ajira/uwekezaji hasa pale mwanaume anapokuwa na kipato kikubwa na tatizo linaweza kuwa kubwa akifariki au wakitalikiana rejea kesi ya mmiliki wa ngurdoto hotel au case ya davis mosha.Sasa kwanini vijana wanao zalisha wanawake bila ndoa wanasumbuliwa kila kukicha kwamba wafunge ndoa? Maana yake ni kwamba ndoa ni kitu muhimu katika ustawi wa familia na jamii kwa ujumla. Shida ni sheria ya KITAPELI iliyotunhwa enzi za ujima na kwa sasa imekuwa mwiba mkubwa kwa wanaume wanaotaka kufunga ndoa. Sheria iboreshwe, je; iboreshwe kwa namna ipi?
Bila shaka , moja wapo unazungumzia mgawanyo wa mali sivyo? Je, upi uhalali wa mtu kudai mgawanyo wa mali zisizo katika jina lake, yaani anakuwaje na mchango katika gari ambalo jina lake halipo, kama alichangia si inapaswa kadi iwe na majina ya wote waliochangia kulinunua?
Kama mchango wake ni kufua, kupika, na kuosha vyombo, basi ahakikishe analipwa malipo yote stahiki kwa kazi hiyo papo hapo. Shida ni kwamba, anafua , kupika, na kuosha vyombo kwa ajili yake mwenyewe na watoto wake mwenyewe wa kuwazaa, sasa atalipwa na nani kwa kitu anachojifanyia mwenyewe?. Yaani ni kama fundi ajenge nyumba yake mwenyewe halafu adai tena pesa ya ufundi.
Sheria zifanyiwe maboresho, je, kwa namna gani?
Na hiki ndio kinanifanya niamini kwamba wanaume wanaofunga ndoa lazima watakuwa na ubongo nusu kichwani.shida sio mgawanyo wa mali pekee
mke ana haki ya matunzo hata kama mmedivorce kwa kosa lake yeye... hata kama umemfuma anazini ukamwacha kama amezaa na wewe bado ana haki ya kula hela zako. na hata kama hamjazaa ana haki na mali zako zilizopatikana kipindi cha ndoa... zinaa yake haimtoi kwenye mali
inategemea si ndoa zote zina matatizo pamoja na changamoto ndogo ndogo zilizopo. mfano ni miaka 18 sasa niko kwenye ndoa na sijawahi kujuta kuoa japo si siku zote ni furaha na nyakati hizi hata yule asiye na mke/mume anaweza pitia kwa namna nyingine.Na hiki ndio kinanifanya niamini kwamba wanaume wanaofunga ndoa lazima watakuwa na ubongo nusu kichwani.
Hayo matumzo kisheria yanaitwa ‘ALIMONY’, yaani azae nje ya ndoa, ukimpa talaka bado umtunze yeye na toto lake la nje ya ndoa.., na hii hupelekea wanaume wengi kukodi majambazi kuuwa wake zao ili kukwepa kutoa talaka na kupoteza nusu ya jasho lao huku akiendelea kumtumza yeye na bwana wake mpya. ‘ALIMONY’ ni sheria ya kiwendawazimu, na ni kikwazo kikubwa kwa wanaume wenye akili timamu kufunga ndoa (ukiacha wale wenye ubongo nusu), pia ni chanzo kikubwa cha ‘Staged murders’.
Kuvuka barabara huku umefunga macho na ukafika salama si jambo la ajabu. Ila itakuwa ni ajabu kama utakuja jukwaani kujisifu au kujitolea mfano juu ya hilo.inategemea si ndoa zote zina matatizo pamoja na changamoto ndogo ndogo zilizopo. mfano ni miaka 18 sasa niko kwenye ndoa na sijawahi kujuta kuoa japo si siku zote ni furaha na nyakati hizi hata yule asiye na mke/mume anaweza pitia kwa namna nyingine.
kuoa/kuolewa ni maamuzi ya mtu binafsi, kwa mwingine linaweza kuwa jambo lisilopendeza lakini kwa wengine nikiwemo ni jambo la maana sana na la kujivunia.
Kuvuka barabara huku umefunga macho na ukafika salama si jambo la ajabu. Ila itakuwa ni ajabu kama utakuja jukwaani kujisifu au kujitolea mfano juu ya hilo.