Je, nini kilimpoteza mwanamuziki Jim Sullivan baada ya kuimba kuhusu kutekwa na Aliens?

Je, nini kilimpoteza mwanamuziki Jim Sullivan baada ya kuimba kuhusu kutekwa na Aliens?

Naamini alliens watakupo japo si ktk namna ambayo huonyeshwa,ila naamini kuna viumbe way more stronger than we(humans) kinachofanya mwanadamu awe SUPERIOR Kuliko viumbe wengine ni Balance aliyonayo ktk almost kila kitu eg Akili,hisia n.k,naamini pia kuna Species nyingine nyingi ambazo zilipotea/kupotezwa na bado hazijatambulika,take an example of what happened at the time of prophet LUTH,ile miji ya sodoma na gomora ni kwamba ArDHi yake iligeuzwa juu chini,ni kama kusema ilishikwa ktk pande zake(ncha zake) na ikageuzwa km zulia,na vyote vilivyokuepo juu ya Ardhi eg miti,mawe,wadudu,wanyama n.k viliteketezwa na kudidimizwa chini zaidi ili kisipatikane kitu cha kutoa ushahidi,japo jiwe la chumvi la mke wa luth lipo ila halina details za kina km ambavyo masalia ya vitu vingine hutoa taarifa ya eneo husika pale yapatikanapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Lile Jiwe la Luthu lipo mkuu? Daah kakipatikana ka picha itapendeza sana
 
Kuna mambo mengi sana ni fix za wazungu UFO na aliens kwangu naamini 100% ni vitu ambavyo havipo.
Mkuu lkn kuna ushahidi wa picha zilizowahi kuchora kwenye miamba enzi hizo kabla hata Yesu hajazaliwa,tafuta humu kuna uzi mkuu
 
Mkuu lkn kuna ushahidi wa picha zilizowahi kuchora kwenye miamba enzi hizo kabla hata Yesu hajazaliwa,tafuta humu kuna uzi mkuu
Mkuu wazungu wakiamua kuliundia jambo zengwe hawashindwi na utakuwepo ushahidi mzito mzito.
 
Jamaa anaamini uwepo wa Yesu wakati Alliens picha zao zimechorwa zama za Kale kabla ya Yesu nadhani ni huko Aztec
Ukweli kabisa mkuu ishu ni kuamini unachoona sahihi, kuamini kwamba Yesu yupo isiwe sababu ya kupinga uwepo wa Aliens.


Lisemwalo lipo
 
Daah kweli ndege ya Malaysia ilipotea kweli mpaka sasa hakuna hata fununu ya kuwa ilipotelea wapi
IPO somewhere imewekwa ila ukionekana unafuatilia kuijua unapotezwa hata mwili wako hautapatikana
 
Nilimsikia Sheikh ambaye kwa sasa ni mkristo anadai kwamba jamaa alikuwa ni jini mtu,hivo majini watu wana tabia ya kupotea na sio kufa, pengine ni hivo, na tunaishi nao hivo kuwasoma alama ya kwanza hakupi nafasi utazame macho yake kwa maana macho yao hayana kioo kama yetu tunavojiona kwenye macho ya wenzetu, yao yanameza picha
 
Mkuu wazungu wakiamua kuliundia jambo zengwe hawashindwi na utakuwepo ushahidi mzito mzito.
Kwani hata ile michoro yetu ya Mapangoni ya Kondoa Irangi na sisi wazee wetu walifanya sanaa na sijui ili iweje?
 
Yesu alikuwepo vitabu vinaelezea,sayansi hadi picha zake..hivyo ukishamjua Yesu basi Huna haja ya ku-doubt uwepo wa Mungu
Aliens pia wapo vitabu vinaelezea, sayansi hadi picha zake
 
Yesu alikuwepo vitabu vinaelezea,sayansi hadi picha zake..hivyo ukishamjua Yesu basi Huna haja ya ku-doubt uwepo wa Mungu
Naweza pata picha ya yesu? kama unayo nisaidie tafadhari?
 
Back
Top Bottom