Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,725
- 3,271
- Thread starter
-
- #61
Sema huko nako kunahitaji mtaji mkubwa sana vinginevyo inabidi utumie nguvu ni kazi ambazo zinachosha sana ndio maana wengi wanazikimbiaHaswaa, tunapenda dezo.! Kilimo na ufugaji tumeachia wazee huko vijijini.
Leo nimetafuta maziwa ya ng'ombe mtaa mzima nimekosa, nimekaa chini nikatikisa kichwa in magufuli style nikajisemea ihiiiii, aah.!
Watu wanaiga tuHiyo ni fursa ila ukianza kuuza wateja wakaielewa idea yako ukaanza kupata pesa watakuja watu wengine 3 kwenye mtaa huo huo mmoja na kuuza biashara kama yako
Nimeona biashara nyingi sana zimefeli, nimeona watu wengi sana wakiisha na madeni makubwa kisa biashara mengine yamepelekea mpaka nyumba zao kupigwa mnada na bank. Kiufupi watu wanafanya biashara kwa kuiga hakiona fulani kafungua biashara flani na ameona mwenzie anauza nae anataka kufungua biashara hiyo hiyo bila kuangalia ubunifu biashara lazima ifeliKwanini anataka afanye biashara ?
- Ipo kwenye damu kwamba ndio hulka yake ?
- Anachopata hakitoshi hence anatafuta zaidi kwa kubahatisha na huku ?
- Anaokoteleza kwa kumpiga ganji muajiri; yaani kule kwenye kazi hafanyi kazi yake vizuri (100%) bali anatumia muda wa kule kufanya ya huku ?
In short watu wanafanya biashara ili iweje ? Ni hobby, waongeze kipato kiwe maradufu au ni kutafuta mkate wa kila siku ? Jibu la hapo utaona wengi ni kutafuta mkata ndio maana wengi stress haziwaashi na tabasamu usoni limekuwa thing of the past.. (mwendo wa kuhamisha madeni na kuongeza riba) Na kwa uhakika wa kwamba biashara ni ngumu na sio ya kila mtu angalia ni biashara ngapi zina-fail; Na shukuru Bongo hakuna ushindani zikija corporations hapa ni mwendo wa watu kufunga vibanda vyao na kuanza kulalamikia masuala ya Uzawa...
Sidhani kama inawezekana
Na sijui huko tunakoelekea itakuwaje! Maana watu wanaongezeka kila sikuOngezeko la watu na uhaba wa ajira.