Kwanini anataka afanye biashara ?
- Ipo kwenye damu kwamba ndio hulka yake ?
- Anachopata hakitoshi hence anatafuta zaidi kwa kubahatisha na huku ?
- Anaokoteleza kwa kumpiga ganji muajiri; yaani kule kwenye kazi hafanyi kazi yake vizuri (100%) bali anatumia muda wa kule kufanya ya huku ?
In short watu wanafanya biashara ili iweje ? Ni hobby, waongeze kipato kiwe maradufu au ni kutafuta mkate wa kila siku ? Jibu la hapo utaona wengi ni kutafuta mkata ndio maana wengi stress haziwaashi na tabasamu usoni limekuwa thing of the past.. (mwendo wa kuhamisha madeni na kuongeza riba) Na kwa uhakika wa kwamba biashara ni ngumu na sio ya kila mtu angalia ni biashara ngapi zina-fail; Na shukuru Bongo hakuna ushindani zikija corporations hapa ni mwendo wa watu kufunga vibanda vyao na kuanza kulalamikia masuala ya Uzawa...