Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Thread haina hata picha, nashindwa kuwaelewa munazungumzia nini haswa
 
Wengine hizo sa sita tumezionea kwenye saa za ukutani tu!!!
Nduuukiii
 
Reactions: SDG
labda kwenye msingamano ndani ya daladala wakware wanayaparamia kwa kisingizio cha kusukumana🙁
Jaha[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Nyie nao msituchoshe,wangapi kati yenu pumbu zimesimama wima,wengi wenu zimelegeeaa ka nini sijui,sababu ni nini
mtu pumbu iko katkat ya paja inahusuu?ingekua ziwa hilo si lingekua kitovuni?.,
Ila ikija kwenye hiyo sehemu kuna vitu vya ajabu...
Kuna zile zimeachana, kuna zilizoungana na kudondoka kama kifurushi kimoja, kuna zilizolegea na kunyorodoka kama mashavu ya bibi, kuna wengine wana vidunguli vitatu...
 
Ila ikija kwenye hiyo sehemu kuna vitu vya ajabu...
Kuna zile zimeachana, kuna zilizoungana na kudondoka kama kifurushi kimoja, kuna zilizolegea na kunyorodoka kama mashavu ya bibi, kuna wengine wana vidunguli vitatu...

tehe tehe tehe tehe khaaaaaa jf sitoki ng'o
 
Naomba kuuliza... Hivi kwa nini baadhi ya wadada matiti yao hayalingani. Yaani utakuka kuna moja kubwa zaidi ya lingine
Linaaza moja kukua linfuata lingine .... La kushoto kubwa la kulia dogo kiasi .... Labda sababu ya heartbeat [emoji1]
 
Maumbile tu...wapo wanawake wameshazaa lakini wana maziwa na Maumbile mazuri mpaka akwambiye kama kazaa.. Huwezi juwa... Kwa jinsi alivyo. Na kuna mwingine hajazaa lakini maziwa hovyo.
 
Ni maumbile tu, usiwaze.. Born this way. Kuna watu wanafanya usiku na mchana, wananyonywa kuliko kawaida na bado chuchu sa sita. Kwa hiyo ni maumbile tuuuu
 
We unaishi wapi niangalie uwezekano wa kukusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…