Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Ni umbile tu, nimezaa ila hayajalegea nawashangaa mabinti kulikoni!? Labda broila pia
 
Thread hii inafanana kabisa na ile isemayo "why baadhi ya binadamu huzeeka mapema licha ya kuzaliwa siku moja na wenzao ambao kila kukicha sura za wenzao huonekana baby face?"
Maumbile yetu na yale ya ndugu zetu hutufanya tuwe hivi tulivyo.
 
mimi pia ni muhanga.
sijazaa ila nna maziwa makubwa,yamelainika yenyewe tu.
nina asili ya maziwa makubwa.. na kila nnavonenepa ndivyo na yenyewe yanajaa wakati mwingine yanajaa mpaka yanauma kabisa.

nikikonda nayo yanapwaya yanakua kawaida. j
nna watu nawafahamu ni malaya wa kutupwa ila wanavichuchu, yani hawana maziwa makubwa na wengine madogo kabisa.
mimi sina hizo tabia ila nna miziwa imejaa
Natamani kufanya mazoezi naamini yatapungua ila sijui nianzie wapi, maana nataka nipate pa kufanyia mazoezi kama mahala wachezapo netball,basket nk
Yanahitaji kunyonywa kwa ustadi... naomba hiyo tenda
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nimejaribu kulinganisha miaka 10 nyuma na miaka ya sasa hivi kupata msichana mwenye chuchu saa sita hazipatikani ni chache sana.

Je, hii kulegea na kuwa kama mtu alienyonyesha hutokana na nini?
Unamaanisha yanakuwa kama ndala? Mi mgeni pia
 
Back
Top Bottom