Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Very true kuna wamama wana watoto wawili watatu au hata wanne lakini chuchu zao bado ziko saa sita sharp. Sijui hawakunyonyesha hawa au ndiyo genes, balanced diet na tizi la kutosha.

Ni asili & matunzo
kuna wadada wamezaa na bado wako vilevile
 
Hukunyonyesha kwa sababu ulikuwa unamatatizo
Nimemnyonyesha mwaka mmoja,tena nilitaka anyonye miaka miwili,ila alikataa mwenyewe

Miezi 6 ya mwanzo kanywa Maziwa yangu tu bila kitu kingine chochote
 
mimi pia ni muhanga.
sijazaa ila nna maziwa makubwa,yamelainika yenyewe tu.
nina asili ya maziwa makubwa.. na kila nnavonenepa ndivyo na yenyewe yanajaa wakati mwingine yanajaa mpaka yanauma kabisa.

nikikonda nayo yanapwaya yanakua kawaida. j
nna watu nawafahamu ni malaya wa kutupwa ila wanavichuchu, yani hawana maziwa makubwa na wengine madogo kabisa.
mimi sina hizo tabia ila nna miziwa imejaa
Natamani kufanya mazoezi naamini yatapungua ila sijui nianzie wapi, maana nataka nipate pa kufanyia mazoezi kama mahala wachezapo netball,basket nk
Hebu fungua nihakikishe
 
Back
Top Bottom