T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Duh!!Me yangu ni lapa Ely yaan yamelala
Chanzo cha kulala hizo nido zako ni nini Shunie?
Nauliza tu.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!!Me yangu ni lapa Ely yaan yamelala
NanyonyeshaDuh!!
Chanzo cha kulala hizo nido zako ni nini Shunie?
Nauliza tu.......
Ahaa!!Nanyonyesha
hahahha yaan ww asee me mzima sana sijui wwAhaa!!
Hapo sawa Shunie
Nikajua hata huna mtoto/hujanyonyesha ila nido zimedondoka aiseeeee!!
Vipi kwema lakini mkuu
I like boobs LIKE YOURS.mimi pia ni muhanga.
sijazaa ila nna maziwa makubwa,yamelainika yenyewe tu.
nina asili ya maziwa makubwa.. na kila nnavonenepa ndivyo na yenyewe yanajaa wakati mwingine yanajaa mpaka yanauma kabisa.
nikikonda nayo yanapwaya yanakua kawaida. j
nna watu nawafahamu ni malaya wa kutupwa ila wanavichuchu, yani hawana maziwa makubwa na wengine madogo kabisa.
mimi sina hizo tabia ila nna miziwa imejaa
Natamani kufanya mazoezi naamini yatapungua ila sijui nianzie wapi, maana nataka nipate pa kufanyia mazoezi kama mahala wachezapo netball,basket nk
Dah!!mie siko poa Shunie sababu sijala chakula chochote kile leo.hahahha yaan ww asee me mzima sana sijui ww
Ukiwa nayo bajet ya sidiria inakuwa haipo
Na hata usitamani kujua wanachokitaka mwaya mana kila ulivyoumbwa utajiona umekosewa.SIJAWAHI KUJUA WANAUME WANATAKA NINI😕
HahahaaaaaNa hata usitamani kujua wanachokitaka mwaya mana kila ulivyoumbwa utajiona umekosewa.
kwani nyie hamlalamiki?..sijui mwanaume kibamia..mara gofu la mtu hana kifua kilochotanuka...hapo tuko neutral dadaNa hata usitamani kujua wanachokitaka mwaya mana kila ulivyoumbwa utajiona umekosewa.
Pole sana ikiwezekana funga kabisa ule jioniDah!!mie siko poa Shunie sababu sijala chakula chochote kile leo.
Yaani hapa nilipo nina njaa iliyotukuka
Ila nyie mmezidi aiseekwani nyie hamlalamiki?..sijui mwanaume kibamia..mara gofu la mtu hana kifua kilochotanuka...hapo tuko neutral dada
Mkuu muulize utuletee mrejesho!unajua hata mimi nataka nimuulize mke wangu... kwann matiti yake hayasimami mpaka apige deki la chini na tambala..!!!
si unaona huyo. safi sana