Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Miti mingi

MITI_MINGI_LOGO_2015-e1491446859991.jpg
 
mimi pia ni muhanga.
sijazaa ila nna maziwa makubwa,yamelainika yenyewe tu.
nina asili ya maziwa makubwa.. na kila nnavonenepa ndivyo na yenyewe yanajaa wakati mwingine yanajaa mpaka yanauma kabisa.

nikikonda nayo yanapwaya yanakua kawaida. j
nna watu nawafahamu ni malaya wa kutupwa ila wanavichuchu, yani hawana maziwa makubwa na wengine madogo kabisa.
mimi sina hizo tabia ila nna miziwa imejaa
Natamani kufanya mazoezi naamini yatapungua ila sijui nianzie wapi, maana nataka nipate pa kufanyia mazoezi kama mahala wachezapo netball,basket nk
I like boobs LIKE YOURS.
 
8824.png

there you go sir..naona tatizo tumekwisha pata jibu..kila wakati wanalalamika nguvu zimetuishia wanaume,sijui mabao 3 hatuwezi..sasa hayo ndo matokeo
 
Nyie nao msituchoshe,wangapi kati yenu pumbu zimesimama wima,wengi wenu zimelegeeaa ka nini sijui,sababu ni nini
mtu pumbu iko katkat ya paja inahusuu?ingekua ziwa hilo si lingekua kitovuni?.,
 
Tatizo hapo msosi,binti anashindia chips mayai Kuku soseji.vitu hivi na vinginevyo vingi vinasababisha kuwa na homoni kujua kwa haraka.
 
Back
Top Bottom