Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Njoo gheto haki ya mama nitayanyonya hadi yapungue na nitakupigisha tizi ww ....jamaniiii...yatakuwa madogoooooo
 
Reactions: SDG
ni rahisi sana ma dia
Matunzo kwa mwanamke ni jambo la msingi sana, mimi ukiniona huwezi kunifikiria kama nini mtoto, na hata nikikwambia nina mtoto bado utabisha coz kila kitu kiko vilevile kama mtoto wa shule...lol
Usiseme kila kitu kipo vile vile.....hilo dubwana ulilozalia haliko km awali
 
 
Cc princess ariana
 
Hata mimi niliwahi kukutana na binti wa namna hiyo hadi nikawa naogopa
Mara baada ya mwanamke kujifungua,ikatokea mtoto kwa muda Woote wa kunyonya akawa ananyonya titi moja tu na lingine hata apewe vp haligusi.hupelekea lile titi ambalo halijaguswa kusinyaa na maziwa hayatoki kabisa.hivyohivyo lile ambalo hunyonywa hujaa any time.so end of the day Hays maziwa hayaji kuwa sawa hats siku moja hata mtoto akiacha kunyonya..
 
gravitational force inasababisha matiti yaelekee chini

bila gravitational force hata dushe lingekuwa linasimama tu
Ha ha ha so mahanithi wanaishi mwezini nini,force of gravity ni 1.6
 
Nimejaribu kulinganisha miaka 10 nyuma na miaka ya sasa hivi kupata msichana mwenye chuchu saa sita hazipatikani ni chache sana.

Je, hii kulegea na kuwa kama mtu alienyonyesha hutokana na nini?
FORCE OF GRAVITY 😀🙄
 
Yafunge kamba ktk chuchu then hiyo kamba ifunge shingoni kwa miezi 6 mfululizo usiku na mchana...uone km hayatakuwa fixed...yatasimama km Binti anaechipuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja ninywe chai maana nmecheka kwa nguvu
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…