Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

mimi pia ni muhanga.
sijazaa ila nna maziwa makubwa,yamelainika yenyewe tu.
nina asili ya maziwa makubwa.. na kila nnavonenepa ndivyo na yenyewe yanajaa wakati mwingine yanajaa mpaka yanauma kabisa.

nikikonda nayo yanapwaya yanakua kawaida. j
nna watu nawafahamu ni malaya wa kutupwa ila wanavichuchu, yani hawana maziwa makubwa na wengine madogo kabisa.
mimi sina hizo tabia ila nna miziwa imejaa
Natamani kufanya mazoezi naamini yatapungua ila sijui nianzie wapi, maana nataka nipate pa kufanyia mazoezi kama mahala wachezapo netball,basket nk
Njoo gheto haki ya mama nitayanyonya hadi yapungue na nitakupigisha tizi ww ....jamaniiii...yatakuwa madogoooooo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
ni rahisi sana ma dia
Matunzo kwa mwanamke ni jambo la msingi sana, mimi ukiniona huwezi kunifikiria kama nini mtoto, na hata nikikwambia nina mtoto bado utabisha coz kila kitu kiko vilevile kama mtoto wa shule...lol
Usiseme kila kitu kipo vile vile.....hilo dubwana ulilozalia haliko km awali
 
Kuna aina mbili za kuanguka matiti. 1. Chuchu inelekea chini. 2. Boob(titi) linashuka chini likiacha chuchu(nipple) imesimama.utaona mduara wa titi umeshuka lakini chuchu imesimama.ndivyo sehemu kubwa ya wazungu walivyo. Na hata wabantu walio wembamba huwa vile.
IMG_20170328_072504.jpg
 
Yaliyolegea ndiyo matamu kweli kweli sema madogo mmekariri tu, ok tukija kwenye swala la miti inanishangaza maana kuna changudoa mmoja namfahamu anajiuza kwa muda mrefu sana tena hubadili mikoa sana kulingana na hali ya soko na ana watoto wawili lakini kifua kama miba, chuchu zimejaa na kusimama vizuri kiasi kwamba hata sidiria havai!
Cc princess ariana
 
Hata mimi niliwahi kukutana na binti wa namna hiyo hadi nikawa naogopa
Mara baada ya mwanamke kujifungua,ikatokea mtoto kwa muda Woote wa kunyonya akawa ananyonya titi moja tu na lingine hata apewe vp haligusi.hupelekea lile titi ambalo halijaguswa kusinyaa na maziwa hayatoki kabisa.hivyohivyo lile ambalo hunyonywa hujaa any time.so end of the day Hays maziwa hayaji kuwa sawa hats siku moja hata mtoto akiacha kunyonya..
 
gravitational force inasababisha matiti yaelekee chini

bila gravitational force hata dushe lingekuwa linasimama tu
Ha ha ha so mahanithi wanaishi mwezini nini,force of gravity ni 1.6
 
Nimejaribu kulinganisha miaka 10 nyuma na miaka ya sasa hivi kupata msichana mwenye chuchu saa sita hazipatikani ni chache sana.

Je, hii kulegea na kuwa kama mtu alienyonyesha hutokana na nini?
FORCE OF GRAVITY 😀🙄
 
Yafunge kamba ktk chuchu then hiyo kamba ifunge shingoni kwa miezi 6 mfululizo usiku na mchana...uone km hayatakuwa fixed...yatasimama km Binti anaechipuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja ninywe chai maana nmecheka kwa nguvu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom