Tunataka matiti yenu yasilegee....SIJAWAHI KUJUA WANAUME WANATAKA NINI😕
Tunataka matiti yenu yasilegee....
Wawapi hao mbona ndo wanao ongoza kwa kuya amsha kwa oparationMbona wazungu nyonyo hazilalii hata wakizaa wanafanya nini
Mimba mnatoa ,,,,tatizo UKIMWINdio muache kuyaning'inia na kukimbia mimba zenu maana wengi matiti yao yameharibika kwa kutoa sana mimba
Netball na basket ukiyapigisha si ndio yataongezeka!mimi pia ni muhanga.
sijazaa ila nna maziwa makubwa,yamelainika yenyewe tu.
nina asili ya maziwa makubwa.. na kila nnavonenepa ndivyo na yenyewe yanajaa wakati mwingine yanajaa mpaka yanauma kabisa.
nikikonda nayo yanapwaya yanakua kawaida. j
nna watu nawafahamu ni malaya wa kutupwa ila wanavichuchu, yani hawana maziwa makubwa na wengine madogo kabisa.
mimi sina hizo tabia ila nna miziwa imejaa
Natamani kufanya mazoezi naamini yatapungua ila sijui nianzie wapi, maana nataka nipate pa kufanyia mazoezi kama mahala wachezapo netball,basket nk
Acha uongo, huwajui watoa mimba wewe!WENGI wanatoa mimba,, akitoa mimba kama tatu hivi ni sawa na mtu aliyezaa watto watatu. full stop hakuna sababu nyingine
Siwajui ila kwa nini sasa watoto wadogo Maziwa yamelalal?Acha uongo, huwajui watoa mimba wewe!
gravitational force inasababisha matiti yaelekee chini
bila gravitational force hata dushe lingekuwa linasimama tu
Dah we jamaa wewe.gravitational force inasababisha matiti yaelekee chini
bila gravitational force hata dushe lingekuwa linasimama tu
Mfano mke wangu.Ni asili & matunzo
kuna wadada wamezaa na bado wako vilevile