Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Lakini saggy titis zina raha yake pia ..............so unachokipenda wewe sio akipendacho yule...............ila chuchu konzi mvuto mara dufu......................
 
mimi pia ni muhanga.
sijazaa ila nna maziwa makubwa,yamelainika yenyewe tu.
nina asili ya maziwa makubwa.. na kila nnavonenepa ndivyo na yenyewe yanajaa wakati mwingine yanajaa mpaka yanauma kabisa.

nikikonda nayo yanapwaya yanakua kawaida. j
nna watu nawafahamu ni malaya wa kutupwa ila wanavichuchu, yani hawana maziwa makubwa na wengine madogo kabisa.
mimi sina hizo tabia ila nna miziwa imejaa
Natamani kufanya mazoezi naamini yatapungua ila sijui nianzie wapi, maana nataka nipate pa kufanyia mazoezi kama mahala wachezapo netball,basket nk
Netball na basket ukiyapigisha si ndio yataongezeka!
Shauri yako
 
Yanalala Kuonesha kwamba kule kunako (Papuchi) sio poa
 
Wasichana wanachezewa mapema na visharobaro vinavyoangalia x videos, so mtu akishaona wale wanavyofanyana anaishia kwa kidemu chake anaenda kukiumiza. Hawajui km wale wanaofanya videos za sex hawana future, wameshalitolea for anything. So ndio mana utakuta kitoto kidogo maziwa yashalazwa, mbele na nyuma keshatumika. Mungu tustirie wtt wetu.
 
Utakuta mdada anawanyonyesha watu wazima wenye meno yote 32 kinywani kwanini matiti yasilale[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom