Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa..,.unajua hata mimi nataka nimuulize mke wangu... kwann matiti yake hayasimami mpaka apige deki la chini na tambala..!!!
Khaa too muchunajua hata mimi nataka nimuulize mke wangu... kwann matiti yake hayasimami mpaka apige deki la chini na tambala..!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]gravitational force inasababisha matiti yaelekee chini
bila gravitational force hata dushe lingekuwa linasimama tu
Nadhani umemaliza kabisa!Suala la Matiti linategemea vitu vitatu zaidi.
1/Maumbile ya Mtu(Jinsi alivyoumbwa au Asili yake)
2/Umri (Kadri umri wa binti unavyosogea mbele, ndivyo matiti hukua na kulegea)
3/Uzazi (Kupata mimba na kuzaa hupelekea matiti kuwa makubwa na kumwagika chini)
Sio rahisi!Ni asili & matunzo
kuna wadada wamezaa na bado wako vilevile
matunzo? unatunza vipi matiti yasilegee na umenyonyesha watoto watatu? natamani kujua! kwenye asili nakubali nina ndugu zangu wana watoto ila vifua vyao bado vimesimama vile vileNi asili & matunzo
kuna wadada wamezaa na bado wako vilevile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unapoamua kumuuliza jiandae kunyimwa chakula cha usikuunajua hata mimi nataka nimuulize mke wangu... kwann matiti yake hayasimami mpaka apige deki la chini na tambala..!!!
Lugha mbaya kabisa, hasa ukiwa na wanawake muhimu kwako waliokuzunguka, sitaki kumjumlisha aliyekuzaa hapa.Kwa minyonyo ya siku hizi unategemea nini? Wakapige jeki tu.
Nakubaliana na wewe. Ni matunzo tu.Ni asili & matunzo
kuna wadada wamezaa na bado wako vilevile
Ukiwa nayo bajet ya sidiria inakuwa haipoHayo saa sita unataka ya nini?