Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Ni asili ya mtu

Mleta thread najua ulichowaza ila kuna watu ni wahuni tena sio kidogo ila ukiwaangalia chuchu zimesimama

Na kuna wengine wametulia(huwenda hakuwahi hata kulala na mwanaume) ila ana ndala

Miili inatofautiana
 
mimi pia ni muhanga.
sijazaa ila nna maziwa makubwa,yamelainika yenyewe tu.
nina asili ya maziwa makubwa.. na kila nnavonenepa ndivyo na yenyewe yanajaa wakati mwingine yanajaa mpaka yanauma kabisa.

nikikonda nayo yanapwaya yanakua kawaida. j
nna watu nawafahamu ni malaya wa kutupwa ila wanavichuchu, yani hawana maziwa makubwa na wengine madogo kabisa.
mimi sina hizo tabia ila nna miziwa imejaa
Natamani kufanya mazoezi naamini yatapungua ila sijui nianzie wapi, maana nataka nipate pa kufanyia mazoezi kama mahala wachezapo netball,basket nk
 
Lishe wanayo iona ya kisasa mfn mayai ya kuku yasiyo na baba kwenye chips mayai nk, kutoa mimba kila mwaka wakijioba mabinti kumbe ni mama wa marehemu, maumbileau genetic inheritance, kuto ushugulisha mwl ipasavyo
 
Suala la Matiti linategemea vitu vitatu zaidi.

1/Maumbile ya Mtu(Jinsi alivyoumbwa au Asili yake)

2/Umri (Kadri umri wa binti unavyosogea mbele, ndivyo matiti hukua na kulegea)

3/Uzazi (Kupata mimba na kuzaa hupelekea matiti kuwa makubwa na kumwagika chini)
Nadhani umemaliza kabisa!
 
Ni asili & matunzo
kuna wadada wamezaa na bado wako vilevile
matunzo? unatunza vipi matiti yasilegee na umenyonyesha watoto watatu? natamani kujua! kwenye asili nakubali nina ndugu zangu wana watoto ila vifua vyao bado vimesimama vile vile
 
Back
Top Bottom