Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

matunzo? unatunza vipi matiti yasilegee na umenyonyesha watoto watatu? natamani kujua! kwenye asili nakubali nina ndugu zangu wana watoto ila vifua vyao bado vimesimama vile vile

Kuna jinsi ya kumnyonyesha mtoto ambayo inasaidia yadondoke, yani wewe ndio unakuwa unai support nyonyo, sio yeye ndio anaivuta atakavyo, mtoto anakuwa free na chuchu tu sio nyonyo yote. Kuna some of the exercise pia za kuyafanya yasidondoke. Kuna vitu vya asilia pia ambavyo unaweza kuwa unapaka ili yasidondoke eg: olive oil. Kuvaa the right bra bila kusahau lishe nzuri
 
mimi pia ni muhanga.
sijazaa ila nna maziwa makubwa,yamelainika yenyewe tu.
nina asili ya maziwa makubwa.. na kila nnavonenepa ndivyo na yenyewe yanajaa wakati mwingine yanajaa mpaka yanauma kabisa.

nikikonda nayo yanapwaya yanakua kawaida. j
nna watu nawafahamu ni malaya wa kutupwa ila wanavichuchu, yani hawana maziwa makubwa na wengine madogo kabisa.
mimi sina hizo tabia ila nna miziwa imejaa
Natamani kufanya mazoezi naamini yatapungua ila sijui nianzie wapi, maana nataka nipate pa kufanyia mazoezi kama mahala wachezapo netball,basket nk

Naomba niyaone 😉 naweza kukushauri pa kuanzia
 
Ni asili ya mtu

Mleta thread najua ulichowaza ila kuna watu ni wahuni tena sio kidogo ila ukiwaangalia chuchu zimesimama

Na kuna wengine wametulia(huwenda hakuwahi hata kulala na mwanaume) ila ana ndala

Miili inatofautiana
Eti ila ana ndala Hahahahahaha
 
mimi pia ni muhanga.
sijazaa ila nna maziwa makubwa,yamelainika yenyewe tu.
nina asili ya maziwa makubwa.. na kila nnavonenepa ndivyo na yenyewe yanajaa wakati mwingine yanajaa mpaka yanauma kabisa.

nikikonda nayo yanapwaya yanakua kawaida. j
nna watu nawafahamu ni malaya wa kutupwa ila wanavichuchu, yani hawana maziwa makubwa na wengine madogo kabisa.
mimi sina hizo tabia ila nna miziwa imejaa
Natamani kufanya mazoezi naamini yatapungua ila sijui nianzie wapi, maana nataka nipate pa kufanyia mazoezi kama mahala wachezapo netball,basket nk
Ni maumbile tu wala usipate shida
 
nadhani kikubwa ni kufanya mapenzi mara nyingi mfululizo, tena na watu wa kila aina na kuanza ngono katika umri mdogo. hali hyo hupelekea kuvuruga mfumo wa homoni.
pia na aina ya ngono za kisasa. wananyonywa mno utadhani friesian ya holland
 
Kuna jinsi ya kumnyonyesha mtoto ambayo inasaidia yadondoke, yani wewe ndio unakuwa unai support nyonyo, sio yeye ndio anaivuta atakavyo, mtoto anakuwa free na chuchu tu sio nyonyo yote. Kuna some of the exercise pia za kuyafanya yasidondoke. Kuna vitu vya asilia pia ambavyo unaweza kuwa unapaka ili yasidondoke eg: olive oil. Kuvaa the right bra bila kusahau lishe nzuri
Hapana dear labda ni asili yako tu, kwanza ukiwa na mimba kuelekea mwishoni kifua kinajaa so mtoto akija kunyonya lazima yataanguka.

Kwa first born nilifanya yote hayo lakin still yalilegea, nadhani maumbile yanachangia.
 
mimi pia ni muhanga.
sijazaa ila nna maziwa makubwa,yamelainika yenyewe tu.
nina asili ya maziwa makubwa.. na kila nnavonenepa ndivyo na yenyewe yanajaa wakati mwingine yanajaa mpaka yanauma kabisa.

nikikonda nayo yanapwaya yanakua kawaida. j
nna watu nawafahamu ni malaya wa kutupwa ila wanavichuchu, yani hawana maziwa makubwa na wengine madogo kabisa.
mimi sina hizo tabia ila nna miziwa imejaa
Natamani kufanya mazoezi naamini yatapungua ila sijui nianzie wapi, maana nataka nipate pa kufanyia mazoezi kama mahala wachezapo netball,basket nk
mimi nafurahishwa sana na maziwa makubwa. yanavutia na ni matamu. wala usijali sehemu kubwa ya wanaume wanataka tangafresh kubwakubwa. vichuchu ni mbwembwe tu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Suala la Matiti linategemea vitu vitatu zaidi.

1/Maumbile ya Mtu(Jinsi alivyoumbwa au Asili yake)

2/Umri (Kadri umri wa binti unavyosogea mbele, ndivyo matiti hukua na kulegea)

3/Uzazi (Kupata mimba na kuzaa hupelekea matiti kuwa makubwa na kumwagika chini)
umesahau na kuchoropoa mimba. Napo pia kunalaza matiti
 
Back
Top Bottom