Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Yaliyolegea ndiyo matamu kweli kweli sema madogo mmekariri tu, ok tukija kwenye swala la miti inanishangaza maana kuna changudoa mmoja namfahamu anajiuza kwa muda mrefu sana tena hubadili mikoa sana kulingana na hali ya soko na ana watoto wawili lakini kifua kama miba, chuchu zimejaa na kusimama vizuri kiasi kwamba hata sidiria havai!
 
Mbona wazungu nyonyo hazilalii hata wakizaa wanafanya nini
Usidanganyike, wazungu unaowaona kwenye sinema ni watu walioandaliwa kwa maigizo. Kuanguka kwa matiti ni kwa wanadamu wote awe mzungu awe mbantu. Sehemu kubwa ya wazungu huwa na miili mwiembamba hivo na matiti yao huwa madogo, lakini kuanguka kuko pale pale, sawa na kuzeeka.
 
Ipo siku kuna mtu atauliza kwa nini uume haukuumbwa ukae kwenye paji la uso sasa.
 
Mmenikumbusha aisee, I love big boobs. Sijui yule best yuko wapi siku hizi, simuoni..lakini her boobs were superb. Daaah, Hongereni wenye big boobs!!!
tapatalk_1490619317779.jpeg
 
Kuna aina mbili za kuanguka matiti. 1. Chuchu inelekea chini. 2. Boob(titi) linashuka chini likiacha chuchu(nipple) imesimama.utaona mduara wa titi umeshuka lakini chuchu imesimama.ndivyo sehemu kubwa ya wazungu walivyo. Na hata wabantu walio wembamba huwa vile.
 
Wengi wametoa mimba kibao wanajiita mabinti kumbe ni mama wa marehemu, kunyonyea sn na watu wazima, vps, mgegedo daily,
 
Nimejaribu kulinganisha miaka 10 nyuma na miaka ya sasa hivi kupata msichana mwenye chuchu saa sita hazipatikani ni chache sana.

Je, hii kulegea na kuwa kama mtu alienyonyesha hutokana na nini?
Hawanyonyeshi? mbona Mimi huwa ninanyonya!
 
mimi pia ni muhanga.
sijazaa ila nna maziwa makubwa,yamelainika yenyewe tu.
nina asili ya maziwa makubwa.. na kila nnavonenepa ndivyo na yenyewe yanajaa wakati mwingine yanajaa mpaka yanauma kabisa.

nikikonda nayo yanapwaya yanakua kawaida. j
nna watu nawafahamu ni malaya wa kutupwa ila wanavichuchu, yani hawana maziwa makubwa na wengine madogo kabisa.
mimi sina hizo tabia ila nna miziwa imejaa
Natamani kufanya mazoezi naamini yatapungua ila sijui nianzie wapi, maana nataka nipate pa kufanyia mazoezi kama mahala wachezapo netball,basket nk
Mwanamke nyonyo bibi wee.
Mie ningekuwa mwanaume ningeoa mwanamke aliejazia nyonyo na t.a.k.o.
[emoji39]
 
Mwanamke nyonyo bibi wee.
Mie ningekuwa mwanaume ningeoa mwanamke aliejazia nyonyo na t.a.k.o.
[emoji39]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
mimi pia ni muhanga.
sijazaa ila nna maziwa makubwa,yamelainika yenyewe tu.
nina asili ya maziwa makubwa.. na kila nnavonenepa ndivyo na yenyewe yanajaa wakati mwingine yanajaa mpaka yanauma kabisa.

nikikonda nayo yanapwaya yanakua kawaida. j
nna watu nawafahamu ni malaya wa kutupwa ila wanavichuchu, yani hawana maziwa makubwa na wengine madogo kabisa.
mimi sina hizo tabia ila nna miziwa imejaa
Natamani kufanya mazoezi naamini yatapungua ila sijui nianzie wapi, maana nataka nipate pa kufanyia mazoezi kama mahala wachezapo netball,basket nk
Jipende ulivyo, usiyachukie.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
sisi wengine zilizo mwagika ndio burudani zetu,kama wewe unapenda saa sita we enedelea kuzipenda hizo sisi zetu ni zile zilizomwagika ( in shekh kipoozeo's voice.)
 
Back
Top Bottom