Je, nini maana ya 'Impeachment'?

Je, nini maana ya 'Impeachment'?

Siyo rais tuu anaweza kuwa impeached.. Impeachment inaweza kutokea pia kwenye nchi ambazo ndani ya mfumo wa uongozi Kuna waziri mkuu..waziri mkuu anaweza kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye.

Mfano mzuri ni Tanzania..nchi zinazofuata mfumo wa presidential democracy kitu Kama hiki ni jambo la kawaida Kupitia mfumo wa "check and balance "
Waziri Mkuu wa Tanzania hawezi kuwa impeached. Impeachment ni mashtaka ya Bunge dhidi ya Rais au Kiongozi Mkuu wa Serikali pale Bunge linapojiridhisha kuwa Rais au Kiongozi Mkuu wa Serikali amevunja Katiba ya Nchi husika!

Na mara nyingi adhabu yake ni kumuondoa madarakani muhusika. PM wa Tanzania hawi impeached kwasababu sio Kiongozi wa Mkuu wa Serikali. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndio anaweza kuwa impeached na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
What if haya yangekuwa yanatokea hapa kwetu, waanzilishi wa sakata wangekuwa salama?
Nakubali hapa kwetu kuna shida kidogo kwa upande wa Wabunge,lakini kama wakiwa na umoja wanaweza kumuondoa Rais yeyote madarakani kama anakwenda kinyume na katiba,katiba inaruhusu.
 
Waziri Mkuu wa Tanzania hawezi kuwa impeached. Impeachment ni mashtaka ya Bunge dhidi ya Rais au Kiongozi Mkuu wa Serikali pale Bunge linapojiridhisha kuwa Rais au Kiongozi Mkuu wa Serikali amevunja Katiba ya Nchi husika! Na mara nyingi adhabu yake ni kumuondoa madarakani muhusika. PM wa Tanzania hawi impeached kwasababu sio Kiongozi wa Mkuu wa Serikali. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndio anaweza kuwa impeached na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Una uhakika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?

Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?

Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba

Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?
 
Masahihisho kwanza ni "impeachment" na siyo impretchment bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badilisha hiyo impretchment
Mimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?

Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?

Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba

Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?

Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?

Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba

Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?
Hicho ulichokiandika katiba haikitambui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?

Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?

Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba

Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?
-ikithibitika ni mgonjwa sana na hataweza tena kusimamia shughuli za serikali
-akiugua maradhi ya akili
 
Mimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?

Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?

Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba

Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?
I smell a rat
 
Khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee vichekesho vya JF. Mlishindwa kuwafanyia impeachment waliotakiwa kuwa impeached mtaweza kwa JPM? Wewe kaa ulale na umasikini wako wa akili. I do not know even how I even wasted my time
 
Back
Top Bottom