Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Waziri Mkuu wa Tanzania hawezi kuwa impeached. Impeachment ni mashtaka ya Bunge dhidi ya Rais au Kiongozi Mkuu wa Serikali pale Bunge linapojiridhisha kuwa Rais au Kiongozi Mkuu wa Serikali amevunja Katiba ya Nchi husika!Siyo rais tuu anaweza kuwa impeached.. Impeachment inaweza kutokea pia kwenye nchi ambazo ndani ya mfumo wa uongozi Kuna waziri mkuu..waziri mkuu anaweza kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye.
Mfano mzuri ni Tanzania..nchi zinazofuata mfumo wa presidential democracy kitu Kama hiki ni jambo la kawaida Kupitia mfumo wa "check and balance "
Na mara nyingi adhabu yake ni kumuondoa madarakani muhusika. PM wa Tanzania hawi impeached kwasababu sio Kiongozi wa Mkuu wa Serikali. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndio anaweza kuwa impeached na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.