Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua Katiba Soma jinsi ya kumuondoa Rais madarakani kwa mashtaka ya kibunge.
Hapo hakuna impeachment.-ikithibitika ni mgonjwa sana na hataweza tena kusimamia shughuli za serikali
-akiugua maradhi ya akili
Asante kuni tag.
IBARA YA 46A YA KATIBA YA TANZANIA. - JamiiForumsMimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?
Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?
Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba
Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?
He ..mzee upo!?!Chukua Katiba Soma jinsi ya kumuondoa Rais madarakani kwa mashtaka ya kibunge.
Ohooooo !!!Mimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?
Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?
Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba
Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?
Hizi siyo zama za ustaraabu kama Trump ameshindwa kutolewa na nchi yenye taasisi imara kama Marekani kwa makosa ambayo yapo wazi sembuse huku uswahilini ambapo njaa na ubabe unatawala kwenye vyama vyote vya siasa.Mimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?
Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?
Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba
Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?
Bunge ndio linahusika, but kwa bunge letu hili la chama kimoja, forget it.
Article 46A of URT Constitution 1977.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaugua ugonjwa mbaya sana uitwao Yerickophobia, Matibabu yake hakuna hata siku Yericko akifariki bado utaendelea kuumwa kwakuwa legacy yake itaishi daima, na hivyo tiba yake ni wewe utakapofariki tuAcha kumuweka yericko na hao wataalamu
Kama unamwona Yerick ana akili ukapimwe
Edit post ukiweza toa jina la yericko
Akiwa mgonjwa, akifariki, makamu wake anachukua, hawi impeached. Impeachment inatokea akithibitika kutumia au kwenda kinyume na cheo au katiba.-ikithibitika ni mgonjwa sana na hataweza tena kusimamia shughuli za serikali
-akiugua maradhi ya akili