Je, nini maana ya 'Impeachment'?

Je, nini maana ya 'Impeachment'?

Ikithibitika ni muoga sana ..nchi haiwezi kuendeshwa na mtu muoga..

I
 
Kwa mashtaka ya kibunge ni ngumu ,maana tuna bunge lililofeli
Chukua Katiba Soma jinsi ya kumuondoa Rais madarakani kwa mashtaka ya kibunge.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Kwa Bunge letu la CCM haiwezekani.CCM ni extra super majority .hoja haiwezi hata kupokelewa.
 
Mimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?

Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?

Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba

Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?
IBARA YA 46A YA KATIBA YA TANZANIA. - JamiiForums

Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Bunge linaweza kumwondoa madarakani Rais - JamiiForums

Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee? - JamiiForums
P
 
  • Thanks
Reactions: prs
Mimi sio mwanasheria! Ila nataka tu kujua ni wakati gani Rais wa Tanzania anaweza kufanyiwa Impretchment?

Je ni wakati anatumia madaraka vibaya? Au ni wakati anapovunja katiba?

Au ni wakati anaposhindwa kutimiza majukumu yake kikatiba

Au ni pale anapokuwa mgonjwa kwa muda mrefu katiba inasemaje wadau?
Ohooooo !!!
 
Hizi siyo zama za ustaraabu kama Trump ameshindwa kutolewa na nchi yenye taasisi imara kama Marekani kwa makosa ambayo yapo wazi sembuse huku uswahilini ambapo njaa na ubabe unatawala kwenye vyama vyote vya siasa.
 
Huyu alikuwa anawatumbua watu majukwaani kwa utendaji mbovu na tukawa tunamsifu.
Sasa ni wakati wa yeye naye Bunge limshughulikie kwa kushindwa kazi kipindi hiki cha janga hili la corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumuweka yericko na hao wataalamu

Kama unamwona Yerick ana akili ukapimwe

Edit post ukiweza toa jina la yericko
Unaugua ugonjwa mbaya sana uitwao Yerickophobia, Matibabu yake hakuna hata siku Yericko akifariki bado utaendelea kuumwa kwakuwa legacy yake itaishi daima, na hivyo tiba yake ni wewe utakapofariki tu
 
-ikithibitika ni mgonjwa sana na hataweza tena kusimamia shughuli za serikali
-akiugua maradhi ya akili
Akiwa mgonjwa, akifariki, makamu wake anachukua, hawi impeached. Impeachment inatokea akithibitika kutumia au kwenda kinyume na cheo au katiba.
 
Back
Top Bottom