Je nini sababu haswa ya mtandao wa Twitter / 𝕏 na telegram kufungiwa Tanzania?

Situmii VPN n X na access kama kawa.
 
Mimi mbona natumia na sijaona changamoto yoyote kwa mitandao hiyo,though kuna watu wanasema wanapata tabu sana kupata mawasiliano na telegram
Mwenye changamoto kama hii anaweza tumia hii
Ingia hapo chagua server, connect then connect proxy na telegram itakaa sawa
 
Unatumia telegram gani desktop,telegram X au ipi?
 
Mtandao wa 𝕏 umefungiwa Tanzania week hii wadau kwanini serekali inafanya hivi au ndio wanataka censorship?

Hii imeleta picha kuwa Tz is against free speech
Acha urongo !
Kisimu chako ni feki
 
Ok if it's in a process of blocking it sawa, but so far it's still accessible
Yeah ila telegram ya kawaida imezuiliwa nadhani telegram X na telegram ya desktop ndio zinafanya kazi since wanatumia server tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…