Je nini sababu haswa ya mtandao wa Twitter / 𝕏 na telegram kufungiwa Tanzania?

Je nini sababu haswa ya mtandao wa Twitter / 𝕏 na telegram kufungiwa Tanzania?

Mtandao wa 𝕏 umefungiwa Tanzania week hii wadau kwanini serekali inafanya hivi au ndio wanataka censorship?

Hii imeleta picha kuwa Tz is against free speech
Labda ndiyo mnawahimiza wafungie, maana hawajafungia lakini watu mnalalamika wamefungia.

Ova
 
Huu mtandao tokea ulipotoka kuwa twitter na kununuliwa na kuwa X, hauna tena maana
Ufungiwe tu huana maaana kama nchi zingine wameshaanza kuufungia, hapa ni suala la muda tu

But ndio spaces za 𝕏 pia mtandao wa viongozi huu na watu wanapata pesa kupitia huu mtandao unadhani ukifungwa haya yote tutapatia wapi
 
Kupitia huu uzi nimepigwa ban eti nimeposti picha chafu.
Ujue moderator kama wanaliwa
 
picha chafu.
1726376078717.png

Kama hii au? ipi hiyo yenye "uchafu"
 
Back
Top Bottom