Ni sahihi wamejitahid sana ni just errors ndogo ndogo zinazoweza rekebishika tu.Polen saana. Huenda ni mistakes kidogo Ila binafsi nawapongeza saana TIE kwenye vitabu vyao kwakweli wamejitajidi saana kuandika sio zile mambo za nyambari nyangwine
Ni ndogo ndogo au ni serious?Ni sahihi wamejitahid sana ni just errors ndogo ndogo zinazoweza rekebishika tu.
Uko vizuri 👍👍👍Mimi ni muhitumu wa phy kutoka chuo y , nimeweza notice some very serious error katika kitabu Cha physics form one na form four TIE na kujaribu kuwatumia email lakini sikupata any response....
Maneno matupu bila vitendoIt's not my hobby buddy, I'm theoretical expert, well nature finds balance in mysterious ways hatuwezi wote kua engineers.
There is always negative people abstaining every positive outcome, it doesn't surprise me.We can't all be engineers and that's final. one more thing you didn't even ask my achievement your assertion just assumed that I can't repair active or passive components of electronic devices, and that tells a lot about you.Maneno matupu bila vitendo
Dabil,Una mwandiko mbaya halafu unakosoa wenzako,umemaliza chuo kweli? kuandika Kiswahili fasaha ni tatizo ,halafu kuchanganya Kiswahili na English kwenye mada moja ni ujinga andika kwa kutumia lugha moja .
Mwalimu wewe ndio uko chaka kumbuka tunachoangalia ni "emitter -base junction to be biased forward" na ipo sahihi kabisaa and not the emitter and base region '' kumbuka walioandika ni wengi wao ni wataalamu zaid wameshirikiana mfano yupo dr TAALAM KIBONA FROM MUCE YUPO GUD SANA JAMAAMimi ni muhitumu wa phy kutoka chuo y , nimeweza notice some very serious error katika kitabu Cha physics form one na form four TIE na kujaribu kuwatumia email lakini sikupata any response
On my personal thought ni kua kids are learning the mistakes ya editors and not all teachers can notice hii Ina masnisha nini katika vitabu vya TIE , ni pendekezo langu hiyo error iweze kurekebiswa . Asante
View attachment 2784886
For pnp transistor emitter and base region is forward Biased lakini ukiangalia mchoro sio sahihi.
Acha ushamba nina wasiwasi na watoto kama huwalishi matango pori kwenye kipengere cha electronicsDabil,
Well this isn't formal conversation it's such a shame that you are courageous enough to write such witless and hateful comment just because someone tried to correct something Wich will save thousands of kids to grab the true and meaningful concept from the book .
I'm really pissed off and just know that it's such a shame for irresponsible man to hide behind pseudo name and say hateful comments to someone who is trying to do something right, That's the difference between me and you.
Kwanini umesema hivyo mkuu ? Me nadhan alivyochanganya lugha imekuwa rahis hata kwa wengine kuelewa, alafu kitu kingine kigumu ni kwamba(naomba niandike kingereza), alot of English technical words have no swahili translation. Ingekuwa ngumu sana kueleweka kama angetumia lugha moja au nasema uongo ndugu yangu..ANYWAYS POINT YAKO WEWE NI NINI ?kama unaandika Kiswahili andika kiswahili na kinyume chake hivyo hivyo, usiwe unachanganya🙏
Mkuu mbona umeandika kama unachukia jamaa alichokisema? Kwani tatizo liko wapi akichanganya lugha? Kwanini hamwongelei kitu kile cha msingi kabisa na mmekazana na hivi vitu vidogo? Jaman naomba mnieleweshe kuna tatizo gani mtu akichanganya lugha? Kama lugha zote ni zinaeleweka na wasomaji?Una mwandiko mbaya halafu unakosoa wenzako,umemaliza chuo kweli? kuandika Kiswahili fasaha ni tatizo ,halafu kuchanganya Kiswahili na English kwenye mada moja ni ujinga andika kwa kutumia lugha moja .
Fungua hilo fail uangalie vizrMimi ni muhitumu wa phy kutoka chuo y, nimeweza notice some very serious error katika kitabu cha physics form one na form four TIE na kujaribu kuwatumia email lakini sikupata any response.
On my personal thought ni kua kids are learning the mistakes ya editors and not all teachers can notice hii Ina maanisha nini katika vitabu vya TIE, ni pendekezo langu hiyo error iweze kurekebishwa. Asante
View attachment 2784886
For pnp transistor emitter and base region is forward Biased lakini ukiangalia mchoro sio sahihi.