Mkuu Physics nimesoma zamani sana about 25 years ago ndo nilimalizaga Form six Nilisomaga PCB so naweza nikakuchallenge kwamba those drawing are correct based on these facts...
maana nimeona wengi wanasema bila kuonyesha kosa liko wapi na mi naona hakuna kosa for these facts..
Kwanza naomba nikurudishe shule kuhusu part ya Transistor maana we have kujua CBE (collector, Base na Emmiter)
Utanisamehe maana me sio mwalimu ntajitahidi kukuelekeza wewe mwalimu!
- Emmiter ndo inasupply majority charge carrier kwa Base.
- Collector hii ipo upande wa kulia wa transistor na kazi Yake kubwa ni kukusanya majority charge carrier hii mara nyingi huwa reverse maana inaweza kupelekwa forwad na backward
- Base hii ipo katikati kama ntakavyoonyesha hapo chini na iko very lightly doped ili kupunguza recombination ndani ya base ili kuongeza collector current na ni nyembamba sana is very ukilinganisha na emitter au collector ili kusaidia kupitisha charge nyingi....
Kama unavyoona hapa chini ...
View attachment 2785154
Narudi kwenye hoja Yako Kwamba mchoro umekosewa..
Kuhusu PNP...
PNP transistor, holes Ndo majority charge carriers.
Na umesema kweli kuwa katika PNP emitter-base junction Ni forward biased,
Kwahyo hapa huwa ina maana kwamba emitter huwa more positive than the base.
Na hii ndo husababisha holes ku flow kutoka kwenye emitter kwnda kwenye the base.
Kwa upande mwingine collector-base junction huwa reverse biased, hii inamaanisha collector huwa positive zaidi kuliko base. Na hii ndo husababisha hiyo depletion region kwenye collector-base junction. Hicho kma kimshale hapo juu kinachoelekea Upande wa kushoto
View attachment 2785191
Sasa...
The holes ambayo huflow kutoka kwenye emitter to the base zinavutwa kwenye depletion region kwenye collector-base junction.
Current inayopita kwenye PNP transistor huwa controlled na base current.
Baada ya ABC nilizokupa ili ukumbuke kuhusu Hiyo Kitu
PNP Sasa naomba nirudi kwenye mchoro uliotoa wewe..
View attachment 2785194
Ukiangalia huu mchoro unaonyesha emitter current IE.
Na holes zinacdoss into N-type base, na zina combine na electrons.
The remainder cross into the collector region to constitute collector current IC. In this way, almost entire emitter current ita flows kwenye collector circuit.
Sasa hapo shida inakuja wapi mkuu mbona mchoro uko clear ..
Au ulitaka wachore hivi
View attachment 2785201
But michoro yote miwili huu wa kwNza na wa pili yote ni sahihi
Ndo maana nikasema pitia vizuri mchoro utaona kuwa uko sahihi