Je, ninunue aina ipi na nizitunze vipi cadet na jeans zikae walau mwaka?

Je, ninunue aina ipi na nizitunze vipi cadet na jeans zikae walau mwaka?

street soul ndo utakutana na suluali ya 300k moja mtumba utakutana na suluali ya 10k
Street soul siku hizi sijui wamekuaje wametutupa wanyonge
Walikua na duka ubungo bei zao zilikuwa poa unachukua tshirt kwa 25k
 
Back
Top Bottom