Kuwa na utaratibu wa kuvaa kwa wiki mbili suruali moja ndo ifuliwe,usifue kila baada ya kuvaa kwa siku tatu wewe sio mtoto wa kike,
Kama una mke mzuie kufua fua hovyo suruali zako
Na zinapofuliwa zisikamuliwe na zianikwe kivulini
Wiki mbili tunavaa kwa namna hii,vaa kwa siku saba mfululizo,baada ya hapo badilisha,ile uliyovua itie kwenye begi au kabati,vaa zingine,siku nyingine tena ichukue uivae kwa siku saba tena baada ya hapo ndo uifue,kwa suruali zote fanya hvyo
Ina maana kwa hzo suruali zako nne utakuwa unamaliza mwezi mzima bila kufua suruali