Je, ninunue aina ipi na nizitunze vipi cadet na jeans zikae walau mwaka?

Kuwa na utaratibu wa kuvaa kwa wiki mbili suruali moja ndo ifuliwe,usifue kila baada ya kuvaa kwa siku tatu wewe sio mtoto wa kike,

Kama una mke mzuie kufua fua hovyo suruali zako

Na zinapofuliwa zisikamuliwe na zianikwe kivulini

Wiki mbili tunavaa kwa namna hii,vaa kwa siku saba mfululizo,baada ya hapo badilisha,ile uliyovua itie kwenye begi au kabati,vaa zingine,siku nyingine tena ichukue uivae kwa siku saba tena baada ya hapo ndo uifue,kwa suruali zote fanya hvyo

Ina maana kwa hzo suruali zako nne utakuwa unamaliza mwezi mzima bila kufua suruali
 
Mzee kwa cadet za karikoo na tunduma hata uwe unashinda nayo ndani kupauka kupo palepale
 
Ulipata muda na uwezo ingia pale Street soul nao huuza vitu vyenye ubora wa kuuzwa Europe

Kariakoo kuna baadhi ya maduka huuza vitu vyenye ubora sana na bei inakuwa juu pia wenyewe huiita chambuu ila pia kuna walaghai nao wanaojiita kwa jina Hilo Hilo hivyo umakini unahitajika

Pia unaweza pata nguo bora kwenye maduka ya mitumba wanaojiita mitumba classic ila pia ukiwa na muda nenda mitumbani au wavizie wale wanatembeza mabegani

Ila dawa ya yoote hayo jitahidi uwe na mavazi mengi sana ili kufanya isiwe unafua kila baada ya muda mfupi ambapo kutapelekea nguo kuchoka mapema,kupoteza hamu ya kuivaa na kuiondolea mvuto kwa wanaokutazama
 
Ulipata muda na uwezo ingia pale Street soul nao huuza vitu vyenye ubora wa kuuzwa Europe

Karakoo kuna baadhi ya maduka huuza vitu vyenye ubora sana na bei inakuwa juu pia wenyewe huiita chambuu ila pia kuna walaghai nao wanaojiita kwa jina Hilo Hilo hivyo umakini unahitajika

Pia unaweza pata nguo bora kwenye maduka ya mitumba wanaojiita mitumba classic ila pia ukiwa na muda nenda mitumbani au wavizie wale wanatembeza mabegani

Ila dawa ya yoote hayo jitahidi uwe na mavazi mengi sana ili kufanya isiwe unafua kila baada ya muda mfupi ambapo kutapelekea nguo kuchoka mapema,kupoteza hamu ya kuivaa na kuiondolea mvuto kwa wanaokutazama
street soul ndo utakutana na suluali ya 300k moja mtumba utakutana na suluali ya 10k
 
Nguo nyingi za dukani ni kimeo sana, ikifuliwa mara tatu kazi imeisha. Sijui labda tununue cadet za 50k kwenda juu au vipi, hizi za 25k, 35k hamna kitu.
Ndio msijiane nunueni cadet za kueleweka, nilimnunuliaga bwana amgu cadet enzi hizo pale sandaland mpk leo anazo sijui kama bado wanauza za ubora huo mpaka sasa
 
Midosho ni midosho tuu , hata ufanye nn , zitachuja rangi na zitapauka, nguo kali haina mashart kama ya mganga

Nani kakudanganya nguo kali hazina masharti?

Wewe nguo huzijui wewe!
Umezoea kuvaa matambara ya Tandika unafulia maji ya chumvi na kutumia sabuni za magadi!

Hivi unaijua suti Og za brand kama Giorgio Armani ama Brunello Cuccinello(ambapo naamini ndio kwanza unaona hizi brand leo) ni za kufua kwa maji ya chumvi na kuanika kwenye mawe ama majani...?

Wewe nguo kali huzijui ndio maana unasema hazina masharti!
Wee endelea kuvaa matambara ya tandika huko ndio hayana masharti!
 
Nani kakudanganya nguo kali hazina masharti?

Wewe nguo huzijui wewe!
Umezoea kuvaa matambara ya Tandika unafulia maji ya chumvi na kutumia sabuni za magadi!

Hivi unaijua suti Og za brand kama Giorgio Armani ni za kufua kwa maji ya chumvi na kuanika kwenye mawe ama majani...?

Wewe nguo kali huzijui ndio maana unasema hazina masharti!
Wee endelea kuvaa matambara ya tandika huko ndio hayana masharti!
Bora hata mie nivae matambara kuliko hizo og ambazo kuhudumia tabu kama mwanachuo
 
Kuwa na utaratibu wa kuvaa kwa wiki mbili suruali moja ndo ifuliwe,usifue kila baada ya kuvaa kwa siku tatu wewe sio mtoto wa kike,

Kama una mke mzuie kufua fua hovyo suruali zako

Na zinapofuliwa zisikamuliwe na zianikwe kivulini

Wiki mbili tunavaa kwa namna hii,vaa kwa siku saba mfululizo,baada ya hapo badilisha,ile uliyovua itie kwenye begi au kabati,vaa zingine,siku nyingine tena ichukue uivae kwa siku saba tena baada ya hapo ndo uifue,kwa suruali zote fanya hvyo

Ina maana kwa hzo suruali zako nne utakuwa unamaliza mwezi mzima bila kufua suruali
Nguo yatakiwa ifuliwe baada ya kuvaliwa mara 4
 
Nguo za mitumba cadet hiyo hiyo imetumika ulaya na hapa utavaa kufua na kuanika bila masharti .
Kuna shida kwenye ubora wa nguo mpya tunazoletewa , watu inaonekana wanachukua the lowest of the low quality products.

Ushasema mtumba!
Hapo unataka masharti gani kutunza mtumba...!?

Huo mtumba bei yake ukiwa mpya ulaya inaweza zidi hata laki 5 za kibongo!
Ambapo utunzaji wake lazima ufuate masharti!
Tatizo wabongo tunavaa nguo kimazoea kwa kuwa nyingi ni bei rahisi hivyo tunaona vyovyote tutakavyozifanya ni sawa tu!
Cardet Og ya Boss ulaya ni zaidi ya laki 7 za kibongo, inunue uone utapewa masharti gani ya kuitunza ili iendelee kubaki na ubora wake!
 
Jamaa kaongea ila kweli nguo nyingi zilizopo madukani tens zingine zinauzwa bei ghari hazina Ubora huyu Mwamba nguo anazijua ukiwa na nguo chache kama ni bora hazitafubaha haraka wala kupoteza ile rangi yake halisi..unakuta Kadeti ikipigwa na jua huku umeivaa inapauka kwenye magoti kuja juu ila zipo Pamba ukibahatika kuyajua maduka yao bei kawaida na zipo sawa hasa nguo zinazotoka Thailand,Vietnam na India..Waturuki pia wanazo ila kwa kiwango kidogo kinachokuja Tanzania na wafanyabiashara wakileta zinakuwa ghari kidogo...
Sure nilinunua Cadet 2 shs 55,000 kila moja. Eti hazi chuji. Kumbe ni za hovyo tu.
 
Back
Top Bottom