Je, ninunue aina ipi na nizitunze vipi cadet na jeans zikae walau mwaka?

Ongeza idadi ya nguo ,ukiwa na nguo nyingi nguo Moja inachukua siku nyingi hadi kuirudia hivyo idadi ya kufuliwa na kupigwa na jua inapingua kama mfuko hauruhusu usijipinde sana kununua za duka .

Tafuta mtumba uchanganye na za duka
Ashoneshe nguo kwa fundi mudi
 
Kuna kale karaha mtu upo huko katika shughuli zako umevaa nguo bado zipo fresh, Sio unapita sehemu nguo imepauka / rangi zimefifia yani hata mtu akikuangalia mara mbili unajua tu hapa kipengere ni nguo.

Nilinunua jeans 2 na cadet 2, kwa ufinyu wa bajeti yangu nilinunua jeans elf 25 kwa pair na cadet zilikuwa elf 28 kwa pair.

Nilitegemea walau zinivushe huu mwaka lakini hali imekuwa ndivyo sivyo, Kwa sasa naanza kuona hata soo kuzivaa.

nawaza hapa nikanunue cadet na jeans aina ipi ambazo zitaweza kunivusha salama huu mwaka na pia nizitunze vipi.

Jamani nguo zinanipasulia bajeti naombeni ushauri please.
Unazipiga hamsa hamsa kwann zisi fubae...
Pia Kuna Og na copy...
Pia maji unayo fulia yakiwa ni hard water....

Kwa Sasa ni hayo tu
 
Kuna duka niliingia nikanunua jeans 120,000 plain. Ukinunua plain ya 45,000 hata wiki haichukui, natumia kwa ofisini pia.

Nimevaa niksema niipeleke dry cleaner isiharibike, ajabu iliporudi nashangaa imekuwa kubwa then inamwagika kama "Bahama" nilichoka kabisa.

Nanunua mtumba mkali, napelekea fundi mzuri anauchonga fresh!! 10,000 na kuichonga 2,000 hadi 5,000 kutegemea na ugumu wa mashono ya hiyo jeans.

Nikitupia midosho yenu ikasome
 
wafanya biashara wengi wanaingiza midosho af wanaipiga pesa ndefu yani unapigwa total loss
 
Kuna kale karaha mtu upo huko katika shughuli zako umevaa nguo bado zipo fresh, Sio unapita sehemu nguo imepauka / rangi zimefifia yani hata mtu akikuangalia mara mbili unajua tu hapa kipengere ni nguo.

Nilinunua jeans 2 na cadet 2, kwa ufinyu wa bajeti yangu nilinunua jeans elf 25 kwa pair na cadet zilikuwa elf 28 kwa pair.

Nilitegemea walau zinivushe huu mwaka lakini hali imekuwa ndivyo sivyo, Kwa sasa naanza kuona hata soo kuzivaa.

nawaza hapa nikanunue cadet na jeans aina ipi ambazo zitaweza kunivusha salama huu mwaka na pia nizitunze vipi.

Jamani nguo zinanipasulia bajeti naombeni ushauri please.
Nunua Cardet za Tommy Hilfiger , usifue kwa Sabuni ya Unga, Tumia Kipande, kama unatumia Machine tumia shampoo ya kuogea kama sabuni. Simple
 
Mimi huwa natupia tu mitumba wanayotembeza bar huwa natulia nachagua kitu bomba kabisa.
Ni yaani kuanzia kiatu shati, hadi suruali nanunulia bar kwa bei ya kutupa.
Nina mashati hayo nilinunuaga 7000 manne toka 2018 nimevaa hadi 2021 yako mapya vilevile nikaenda kuyaacha mkoa nayatupiaga mpaka leo nikienda. Ukiyatatazama ni kama ya 40.
 
Mi kuna jeans nilinunua kila kukicha napeleka kwa fundi kubana

Sasa sijui nakonda kila siku [emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jeans zetu hizo za 13k, 14k etc. Namimi ninayo moja saiv imekuwa bwanga hata suruali za kitambaa zinasubiri wakati kipindi naichukua kkoo ilikuwa modo safi kabisa.
 
Back
Top Bottom