Je, niolewe naye? Baba yake alizaa na Mama yangu



wabondei
waluguru
wangoni
binamu ruksa....sijui hayo mengine....
 
Kwanza Mkuu samahani hapo juu kwenye nyekundu nimeweka sawa jina, linatakiwa liwe MAMMAMIA tena kwa herufi kubwa na wala sio Mamamia.

Nadhani Mkuu tunazungumzia kitu kimoja kwa tafsiri tafauti. Tukiangalia suala la dini na ruhusa ya kuoana kwa watu wa damu moja, tunakubaliana kuwa DINI HAZIRUHUSU HILO.Na hata pale niliposema kuwa BABA ANAWEZA KUMWOA MTOTO WAKE IKIWA HAKUZALIWA NDANI YA NDOA, kwa tafsiri ya juu juu itaonekana kama dini inaruhusu hilo, lakini tafsiri yake halisi ni kukataza zinaa ambayo ni uchafu (kidini) kiasi cha kuwafananisha binadamu na wanyama, ambao wanaingiliana baba/mwana/mama. Na hapa ndipo suala la maadili linapoingia pia. Ni baba gani atamwoa binti yake kwa sababu tu hakumzaa ndani ya ndoa? Atakayethubutu kufanya hivyo hawezi kutafautishwa na mnyama.
 
Njia panda kivipi wakati mimi naona mko kwenye process ya kubadilishana viapo??

Hapa ndoa haizuiliki!!

Babu DC!!

Babu acha hizo bana! Rudi kwenye mstari.

Wala hatuko kwenye process bado nimeuliza kutaka kujua kwanza. Sasa ndoa haizuiliki kivipi tena?

Unajua unazeeka vibaya babu? Teeh tee teee
 
Duuuh! Naanza kupata moyo!

Wanyakyusa na Wasukuma niaje?

Hapa umesema haya ila pia umeshasema mengi huko nyuma!!


Njia panda kivipi wakati mimi naona mko kwenye process ya kubadilishana viapo??

Hapa ndoa haizuiliki!!

Babu DC!!


Akili yangu ya 1947 ikaona hivyo!!



Babu acha hizo bana! Rudi kwenye mstari.

Wala hatuko kwenye process bado nimeuliza kutaka kujua kwanza. Sasa ndoa haizuiliki kivipi tena?

Unajua unazeeka vibaya babu? Teeh tee teee


Sasa, hebu angalia hiyo flow ya maelezo halafu urudie tena kusema kama kweli Babu anazeeka vibaya??

Babu DC
 
Hapa umesema haya ila pia umeshasema mengi huko nyuma!!
Akili yangu ya 1947 ikaona hivyo!!
Sasa, hebu angalia hiyo flow ya maelezo halafu urudie tena kusema kama kweli Babu anazeeka vibaya??
Babu DC

We Babu weweeee, na hicho Kibdoda boda chako soma mada kuu na leta ushauri bana. Usikwepe hoja! Grrrrrrrrrrr
 
We Babu weweeee, na hicho Kibdoda boda chako soma mada kuu na leta ushauri bana. Usikwepe hoja! Grrrrrrrrrrr

Hahahahahahahahhahaha,

Ngoja kwanza nivae miwani ili niewelewe hii mada,

Ila unakumbuka maana ya haya maneno??

Kuna Mwanaume ambaye ametokea kunipenda sana, nami nampenda sana ingawa hatujafikia hatua ya mahusiano ya kimwili.
 
Kama wewe ni Mkristo soma kitabu cha BIBLIA katika mambo ya walawi sura ya 18. Natumai kuwa ukimaliza kusoma utakuwa umepata uelewa juu ya nini cha kufanya.
 

Biologically, A na Big Lady hawana uhusiano wa damu...Ukifanya DNA test hakuna kitu hapo....Ni kama mie na Maty au MJ1!!

Kwa upande wa A, yaani Mwanaume tunayependana amelelewa na familia nyingine toka utotoni ambayo mama yake Mzazi na A aliolewa na Baba mwingine. A ana ndugu zake huko waliolelewa pamoja. Hii ndiyo familia yake ya sasa.

Kumekuwa na mwingiliano wa malezi kiasi kwamba undugu kati ya Big Lady na A, pamoja na kwamba wanashare dada (C) uko mbali sana (far fetched)!! Inakuwa vigumu kwa watu wa kawaida kuuona!!

Sasa swali langu kwenu wana MMU, je mimi naweza kuolewa na Mwanaume huyu yaani A?

Kwa upande wangu sioni kikwazo kama mnaweza kukubaliana na kuwa tayari kuhandle hizo complications nyingine. Mfano mtakuja kuzaa mtoto ambaye atakuwa kwa upande mmoja anamwita C mama mdogo na hapo hapo anamwita shangazi!! Mko tayari kwa hilo??

Pia kuna suala la jamii...watu wanaweza kuwa na maneno maneno kwamba kijana (A) na baba yake wanashughulika na mtu (Big Lady) na Mama yake!! Mtaweza kuuchuna na waacha waseme tu kwa raha zao??

Nitarudi tena baadaye kidogo, ngoja kwanza nitafute mafuta kwa ajili ya tuk tuk ya Babu!!

Babu DC!!
 
Nyakumbuka Babu!


Unajua Big Lady, maneno mazito hayaji hivyo hivyo...Kuna investment kubwa tayari imeshafanyika. Uko tayari kuachana na hiyo biashara ambayo tayari inaonesha mwelekeo wa kukutoa??

 
Last edited by a moderator:

Asante sana babu DC. Huyu ndo Babu ninayemjua sasa. Ngoja niendelee kutafakari.
 
Kuolewa na ndugu wa karibu kiasi hicho.....
mmmmhhhhhhhhh!!!!!!!
Akili kichwani mwako!!
 
Unajua Big Lady, maneno mazito hayaji hivyo hivyo...Kuna investment kubwa tayari imeshafanyika. Uko tayari kuachana na hiyo biashara ambayo tayari inaonesha mwelekeo wa kukutoa??


Duh! Ngoja nisilizize kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Kuolewa na ndugu wa karibu kiasi hicho.....
mmmmhhhhhhhhh!!!!!!!
Akili kichwani mwako!!

Binafsi jaona undugu wa karibu kati ya hawa jamaa. May be kwa kuwa mlete mada katoa details za kutosha!!

Kwa baadhi ya makabila yetu, kuna aina fulani ya undugu ambao si wa damu ila kwa sababu familia zinakuwa karibu sana, inafikia mahali kwamba ndugu wa hizo familia hawawezi kuoana.

Ila Big Lady na mpenzi wake (A) hawakuwa na ukaribu wowote na pia hawana undugu wa damu....Kama wanapendana sana sioni tatizo kabisa kwa wao kuoana rasmi...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…