Pleasepast
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 509
- 848
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna shida mahari, kuna vidharau na kutoaminiana.
Upupu mtupu umeumwaga hapa.Habarini za asubuhi wapendwa
STORY YA KABINTI KAMOJA.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nipo hapa kuomba ushauri wenu.
Mimi ni binti wa kitanzania nina miaka27 nilibahatika kupata mwanaume akanioa nikawa naishi nae na tukafanikiwa kupata mtoto mmoja ambae kwa sasa ana miaka miwili na nusu lakini nimeamua kumuacha huyu mwanaume kwasababu zifuatazo
1. Nikiwa naumwa ananipeleka hospitali na huduma nyingine anafanya lakini haonyeshi kujali haniulizi naendeleaje.
2. Nikiwaambia kaka zangu wamshauri jambo anachukia kabisa na anakataa.
3. Anampenda mtoto wake kuliko mimi.
4. Anafanya kazi nje ya mkoa tunao ishi hivyo kuonana ni mara chache sana .
5. Nilimwambia Mama yangu kwamba kwa sasa mume wangu anajali kuhusu mtoto tu ata chumbani haniwazi sana mimi lakini cha ajabu mume alipo sikia alikasirika sana na ikawa mzozo.
6. Kwenye mazungumzo nilijikuta namwambia kwamba alipata alama ndogo sana kidato cha nne sasa alipo sikia ivyo alikasirika sana na wakati ni jambo la kawaida tu.
7. Hapendi kushauriwa na Kaka zangu wala hapendi akipigiwa simu na ndugu zangu ili kusuruhishwa mgogoro wowote ule.
8. Kila muda maneno yake ni kusema mimi namdharau tu.
9. Anachukia mimi kuishi na mtoto wangu hapa kwetu mara anasema Mama hajanilea vizuri.
Mimi baada ya kuyaona yote haya nikaamua kuondoka na kurudi nyumbani kwetu japo yeye ananitafuta anasema nirudi tulee mtoto lakini sitaki amenichosha sana sasa naomba ushauri ndugu zangu je.? Nitakua nimefanya maamuzi mazuri kumuacha huyu mwanaume au mimi ndio nitakua na makosa.
Naomba Niwasilishe.
Mkuu sijaona sababu kubwa ya kuvunja ndoa yako. Naona unadeka deka tu.Habarini za asubuhi wapendwa

Anakuambia stori ya kabinti kamoja wakati ni stori yake mwenyewe haiwezekani stori ya kijinga hivi isiwe yako uilete asubuhi na mapema hivi kwa uzuri upi hapo wa hiyo stori ......Upupu mtupu umeumwaga hapa.
Mkuu kuna code usimfungulie hatakiwi kujua kwamba jamaa kakosema kumuweka ndani hatakiwi kujua anayofanya ni ujinga huyu ni kumpamba aachane na jamaa tumuokoe mwanaume mwenzetu basi akistuka huyu itakua nongwaMkuu sijaona sababu kubwa ya kuvunja ndoa yako. Naona unadeka deka tu.
Ngoja uje ukutane na gume gume ndipo utaeleea vizuri.
Yani sijaona sababu ya msingi ya wewe kuvubja ndoa yako ila nilichokiona ni kwamba jamaa kakosea kuoa.
Nimeona wenzio wamekushauri ujinga hapo juu!!Habarini za asubuhi wapendwa
STORY YA KABINTI KAMOJA.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nipo hapa kuomba ushauri wenu.
Mimi ni binti wa kitanzania nina miaka27 nilibahatika kupata mwanaume akanioa nikawa naishi nae na tukafanikiwa kupata mtoto mmoja ambae kwa sasa ana miaka miwili na nusu lakini nimeamua kumuacha huyu mwanaume kwasababu zifuatazo
1. Nikiwa naumwa ananipeleka hospitali na huduma nyingine anafanya lakini haonyeshi kujali haniulizi naendeleaje.
2. Nikiwaambia kaka zangu wamshauri jambo anachukia kabisa na anakataa.
3. Anampenda mtoto wake kuliko mimi.
4. Anafanya kazi nje ya mkoa tunao ishi hivyo kuonana ni mara chache sana .
5. Nilimwambia Mama yangu kwamba kwa sasa mume wangu anajali kuhusu mtoto tu ata chumbani haniwazi sana mimi lakini cha ajabu mume alipo sikia alikasirika sana na ikawa mzozo.
6. Kwenye mazungumzo nilijikuta namwambia kwamba alipata alama ndogo sana kidato cha nne sasa alipo sikia ivyo alikasirika sana na wakati ni jambo la kawaida tu.
7. Hapendi kushauriwa na Kaka zangu wala hapendi akipigiwa simu na ndugu zangu ili kusuruhishwa mgogoro wowote ule.
8. Kila muda maneno yake ni kusema mimi namdharau tu.
9. Anachukia mimi kuishi na mtoto wangu hapa kwetu mara anasema Mama hajanilea vizuri.
Mimi baada ya kuyaona yote haya nikaamua kuondoka na kurudi nyumbani kwetu japo yeye ananitafuta anasema nirudi tulee mtoto lakini sitaki amenichosha sana sasa naomba ushauri ndugu zangu je.? Nitakua nimefanya maamuzi mazuri kumuacha huyu mwanaume au mimi ndio nitakua na makosa.
Naomba Niwasilishe.
Endelea kukaa home mshauriane na kaka zako cha kufanya,kuhusu malezi ya mtoto,kaka zako na mama yako watakupa mwongozo.Habarini za asubuhi wapendwa

Napata morning glory hapa narudi chapdronedrake umeitwa huku.
Wote hamna akiliHabarini za asubuhi wapendwa