Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa la kwanzà ni kuwambia kaka zako madhaifu ya mume wako ,hakuna mwanaume anaye penda huo upumbavu,Habarini za asubuhi wapendwa
STORY YA KABINTI KAMOJA.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nipo hapa kuomba ushauri wenu.
Mimi ni binti wa kitanzania nina miaka27 nilibahatika kupata mwanaume akanioa nikawa naishi nae na tukafanikiwa kupata mtoto mmoja ambae kwa sasa ana miaka miwili na nusu lakini nimeamua kumuacha huyu mwanaume kwasababu zifuatazo
1. Nikiwa naumwa ananipeleka hospitali na huduma nyingine anafanya lakini haonyeshi kujali haniulizi naendeleaje.
2. Nikiwaambia kaka zangu wamshauri jambo anachukia kabisa na anakataa.
3. Anampenda mtoto wake kuliko mimi.
4. Anafanya kazi nje ya mkoa tunao ishi hivyo kuonana ni mara chache sana .
5. Nilimwambia Mama yangu kwamba kwa sasa mume wangu anajali kuhusu mtoto tu ata chumbani haniwazi sana mimi lakini cha ajabu mume alipo sikia alikasirika sana na ikawa mzozo.
6. Kwenye mazungumzo nilijikuta namwambia kwamba alipata alama ndogo sana kidato cha nne sasa alipo sikia ivyo alikasirika sana na wakati ni jambo la kawaida tu.
7. Hapendi kushauriwa na Kaka zangu wala hapendi akipigiwa simu na ndugu zangu ili kusuruhishwa mgogoro wowote ule.
8. Kila muda maneno yake ni kusema mimi namdharau tu.
9. Anachukia mimi kuishi na mtoto wangu hapa kwetu mara anasema Mama hajanilea vizuri.
Mimi baada ya kuyaona yote haya nikaamua kuondoka na kurudi nyumbani kwetu japo yeye ananitafuta anasema nirudi tulee mtoto lakini sitaki amenichosha sana sasa naomba ushauri ndugu zangu je.? Nitakua nimefanya maamuzi mazuri kumuacha huyu mwanaume au mimi ndio nitakua na makosa.
Naomba Niwasilishe.
Ndugu, Ukishahusisha familia yako ( wazazi wako na Kaka zako) kwenye migogoro midogo midogo ya ndoa, tayari ndoa yako umeshaivunja. Mambo madogo madoho ya familia yako yasuluhishe wewe mwenyewe na mwenzio, usiruhusu watu wa nje waingilie. Hakuna Mwanaume anayependa kuona familia yake wanaicontrol ndugu wa Mwanamke.Habarini za asubuhi wapendwa
STORY YA KABINTI KAMOJA.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nipo hapa kuomba ushauri wenu.
Mimi ni binti wa kitanzania nina miaka27 nilibahatika kupata mwanaume akanioa nikawa naishi nae na tukafanikiwa kupata mtoto mmoja ambae kwa sasa ana miaka miwili na nusu lakini nimeamua kumuacha huyu mwanaume kwasababu zifuatazo
1. Nikiwa naumwa ananipeleka hospitali na huduma nyingine anafanya lakini haonyeshi kujali haniulizi naendeleaje.
2. Nikiwaambia kaka zangu wamshauri jambo anachukia kabisa na anakataa.
3. Anampenda mtoto wake kuliko mimi.
4. Anafanya kazi nje ya mkoa tunao ishi hivyo kuonana ni mara chache sana .
5. Nilimwambia Mama yangu kwamba kwa sasa mume wangu anajali kuhusu mtoto tu ata chumbani haniwazi sana mimi lakini cha ajabu mume alipo sikia alikasirika sana na ikawa mzozo.
6. Kwenye mazungumzo nilijikuta namwambia kwamba alipata alama ndogo sana kidato cha nne sasa alipo sikia ivyo alikasirika sana na wakati ni jambo la kawaida tu.
7. Hapendi kushauriwa na Kaka zangu wala hapendi akipigiwa simu na ndugu zangu ili kusuruhishwa mgogoro wowote ule.
8. Kila muda maneno yake ni kusema mimi namdharau tu.
9. Anachukia mimi kuishi na mtoto wangu hapa kwetu mara anasema Mama hajanilea vizuri.
Mimi baada ya kuyaona yote haya nikaamua kuondoka na kurudi nyumbani kwetu japo yeye ananitafuta anasema nirudi tulee mtoto lakini sitaki amenichosha sana sasa naomba ushauri ndugu zangu je.? Nitakua nimefanya maamuzi mazuri kumuacha huyu mwanaume au mimi ndio nitakua na makosa.
Naomba Niwasilishe.
Rudi lwa Mumeo,, suluhisheni hio migogoro na pia utambue wapi unamkosea Mumeo ili muende sawaHabarini za asubuhi wapendwa

Huyu anaendeshwa na watu wa kwao. Aende tu kwao kaka zake watamuoaMkuu sijaona sababu kubwa ya kuvunja ndoa yako. Naona unadeka deka tu.
Ngoja uje ukutane na gume gume ndipo utaeleea vizuri.
Yani sijaona sababu ya msingi ya wewe kuvubja ndoa yako ila nilichokiona ni kwamba jamaa kakosea kuoa.
Nachoweza kusema wewe.ni mpumbavu, na upumbavu wako utakugharimu,Habarini za asubuhi wapendwa
STORY YA KABINTI KAMOJA.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nipo hapa kuomba ushauri wenu.
Mimi ni binti wa kitanzania nina miaka27 nilibahatika kupata mwanaume akanioa nikawa naishi nae na tukafanikiwa kupata mtoto mmoja ambae kwa sasa ana miaka miwili na nusu lakini nimeamua kumuacha huyu mwanaume kwasababu zifuatazo
1. Nikiwa naumwa ananipeleka hospitali na huduma nyingine anafanya lakini haonyeshi kujali haniulizi naendeleaje.
2. Nikiwaambia kaka zangu wamshauri jambo anachukia kabisa na anakataa.
3. Anampenda mtoto wake kuliko mimi.
4. Anafanya kazi nje ya mkoa tunao ishi hivyo kuonana ni mara chache sana .
5. Nilimwambia Mama yangu kwamba kwa sasa mume wangu anajali kuhusu mtoto tu ata chumbani haniwazi sana mimi lakini cha ajabu mume alipo sikia alikasirika sana na ikawa mzozo.
6. Kwenye mazungumzo nilijikuta namwambia kwamba alipata alama ndogo sana kidato cha nne sasa alipo sikia ivyo alikasirika sana na wakati ni jambo la kawaida tu.
7. Hapendi kushauriwa na Kaka zangu wala hapendi akipigiwa simu na ndugu zangu ili kusuruhishwa mgogoro wowote ule.
8. Kila muda maneno yake ni kusema mimi namdharau tu.
9. Anachukia mimi kuishi na mtoto wangu hapa kwetu mara anasema Mama hajanilea vizuri.
Mimi baada ya kuyaona yote haya nikaamua kuondoka na kurudi nyumbani kwetu japo yeye ananitafuta anasema nirudi tulee mtoto lakini sitaki amenichosha sana sasa naomba ushauri ndugu zangu je.? Nitakua nimefanya maamuzi mazuri kumuacha huyu mwanaume au mimi ndio nitakua na makosa.
Naomba Niwasilishe.
Umwa wako aliekamilika au subiri azaliweHabarini za asubuhi wapendwa

Habarini za asubuhi wapendwa

Na utoto nao una changia baadhi ya wanawake kua hivyo kisha badae wanakuja kujutia.Sasa usicho kijua wewe ndio unashida na sio yeye yaani kitu kidogo tu unawambia kwenu
Mwanaume hashauriwiHabarini za asubuhi wapendwa