Pleasepast
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 509
- 848
- Thread starter
- #41
Yani hata sasa itakuwa anajutia lakini anaona aibu kurudi kwake kwasababu aliondoka kwa mbwembwe nyingi
Kosa liko kwa huyo dada.
Kama ameona jamaa yake ana matatizo ana haki ya kumfundisha jinsi ya ku care kwa. Kuwa sio wanaume wote wanaijua hiyo Sanaa.
Atafute muda akae chini na mwenzie ampe ABCD anazotaka yeye badala ya mambo yao kupeleka kwa kaka zake ambao ni mashemeji wa jamaa ...hapo anamuaibisha na hii inamletea jamaa hasira na msongo wa MAWAZO.
Jambo lingine ni kuwa akiamua kuwa single mama ajue kuwa thamani yake kwenye jamii hapo tena kwa kuwa kila mwanaume atakuwa anamuona kama mtumba tu kwa kuwa ana mtoto na kuna motto kwa wanaume kuwa kudate na single mama au kumuoa lazima kwanza akuoneshe kaburi la mzazi mwenzake.
KUACHANA SIO SOLUTION YAKE.