Je, nirudiane nae au niachane nae moja kwa moja?

Nina miaka 13 kwenye ndoa wakati nipo mbali na familia yangu upande wa my wangu walijifanya kuingilia sana mambo ya ndoa!
Kwa ufupi ukiruhusu ndugu zako wakushauri kuhusu mumeo utamaliza wanaume! Mambo ya ndani ya ndoa Huwa hatuyapeleki Kwa ndugu ikiwa ni ya kawaida tu! Ndoa ni wawili tu.

Ndoa Ina chungu na tamu mpk inakomaa
 
Sasa wewe kila kitu lazima ukawashirikishe kaka zako, hizo ni akili au matope
 
Kosa la kwanzà ni kuwambia kaka zako madhaifu ya mume wako ,hakuna mwanaume anaye penda huo upumbavu,

Lakini sababu zote ulizo taja hakuna sababu hata moja ambayo kweli ingepasa muachane Bali NI tatizo la malezi ambalo kwa SASA wazazi wengi wanalikosea , kuto Walea mabint zao katika malezi ya kuja kuwa mama Bora kwa watoto na mke Bora kwa mumewe.
 
Ndugu, Ukishahusisha familia yako ( wazazi wako na Kaka zako) kwenye migogoro midogo midogo ya ndoa, tayari ndoa yako umeshaivunja. Mambo madogo madoho ya familia yako yasuluhishe wewe mwenyewe na mwenzio, usiruhusu watu wa nje waingilie. Hakuna Mwanaume anayependa kuona familia yake wanaicontrol ndugu wa Mwanamke.
 
Rudi lwa Mumeo,, suluhisheni hio migogoro na pia utambue wapi unamkosea Mumeo ili muende sawa
 
Hivi wanawake wa hivi wapo kweli?
Kama wapo basi ni kweli hata wao hawajui wanataka nini
 
Hutaiweza ndoa, ndugu zako ndio wanakuongoza kwenye ndoa yako.....
 
Naona namba 4 ndo chanzo cha matatizo yenu (long distance relationship), hampati mda wa kupenzika vizuri. Sioni kama kuna sababu kubwa ya kuwafanya mgombane.

Mahusiano ya karibu (mapenzi) yasipoboreshwa hufanya ndoa kuyumba.
 
Mkuu sijaona sababu kubwa ya kuvunja ndoa yako. Naona unadeka deka tu.
Ngoja uje ukutane na gume gume ndipo utaeleea vizuri.
Yani sijaona sababu ya msingi ya wewe kuvubja ndoa yako ila nilichokiona ni kwamba jamaa kakosea kuoa.
Huyu anaendeshwa na watu wa kwao. Aende tu kwao kaka zake watamuoa
 
Nachoweza kusema wewe.ni mpumbavu, na upumbavu wako utakugharimu,
 
Umwa wako aliekamilika au subiri azaliwe
 


Kosa liko kwa huyo dada.

Kama ameona jamaa yake ana matatizo ana haki ya kumfundisha jinsi ya ku care kwa. Kuwa sio wanaume wote wanaijua hiyo Sanaa.


Atafute muda akae chini na mwenzie ampe ABCD anazotaka yeye badala ya mambo yao kupeleka kwa kaka zake ambao ni mashemeji wa jamaa ...hapo anamuaibisha na hii inamletea jamaa hasira na msongo wa MAWAZO.


Jambo lingine ni kuwa akiamua kuwa single mama ajue kuwa thamani yake kwenye jamii hapo tena kwa kuwa kila mwanaume atakuwa anamuona kama mtumba tu kwa kuwa ana mtoto na kuna motto kwa wanaume kuwa kudate na single mama au kumuoa lazima kwanza akuoneshe kaburi la mzazi mwenzake.


KUACHANA SIO SOLUTION YAKE.
 
Sasa usicho kijua wewe ndio unashida na sio yeye yaani kitu kidogo tu unawambia kwenu
 
Mwanaume hashauriwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…