Je, njia ipi ni nzuri ya kuzuia virusi vya Corona kati ya hizi mbili zinazotumiwa na Tanzania na Kenya?

Njia pekee ya kuzuia Corona ni kujiweka self carantine, we na familia yako. Kupunguza au kuacha muingiliano wowote ule.
Ikiwezekana nje ya mji kidogo.
 
Slum boy akitoa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA, S.Africa wana wagonjwa wengi zaidi yenu na wamepiga marufuku mikusanyiko yeyote ya wananchi wao. Hongereni, maombi yenu yanafanya kazi kweli kweli.
 
USA, S.Africa wana wagonjwa wengi zaidi yenu na wamepiga marufuku mikusanyiko yeyote ya wananchi wao. Hongereni, maombi yenu yanafanya kazi kweli kweli.
Mjifunze kujisimamia sio kuiga kila jambo linalotoka kwa mabwana zenu, nchi zinamazingira na tabia tofauti, lazima msome mazingira yenu na tamaduni zenu ndio mlinganishe na nchi zingine.

USA na South Africa hawana misongamano katika fery Kama Likoni, polisi wao sio wajinga na katili Kama Kenya, kabla hamjaamua kuwaiga, mlipaswa kuyafanyia Kazi hayo mapungufu yenu kwanza na kuweka utaratibu mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaizalilisha Tz tunaoneka wote ni mazwazwa
 
kama madawa na madaktari wameshindwa?.
NINI TEGEMEO LINGINE?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA, S.Africa wana wagonjwa wengi zaidi yenu na wamepiga marufuku mikusanyiko yeyote ya wananchi wao. Hongereni, maombi yenu yanafanya kazi kweli kweli.
Mlipaswa haya maandalizi kufanyika kabla, sio watu wanaumizwa kwanza ndio mnakumbuka kujipanga, acheni kukurupuka kwa kuwaiga wamarekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaizalilisha Tz tunaoneka wote ni mazwazwa
Sio Tz tu jombaa. Huwa najaribu kuwaza aibu kwetu sisi hapa A.M. ingekuwa ya aina gani, kama mijadala ya aina hii ingekuwa hata 80% tu kwa lugha ya kiingereza. Wenzetu huku Afrika wangekuwa wanasema mashariki ni kwa mazero brain. Nimejadiliana sana na warwanda na sanasana waganda, kwenye forum tofauti tofauti na kwenye twitter pia ila akili kama hizi sijaziona hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…