Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
LOL wewe si ulicomment kwamba kichapo kiendelee? Imekuja kuwa sad tena?This is bad.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LOL wewe si ulicomment kwamba kichapo kiendelee? Imekuja kuwa sad tena?This is bad.
Ukiona hivo ujue yameshamkuta.LOL wewe si ulicomment kwamba kichapo kiendelee? Imekuja kuwa sad tena?
Wanajeshi huwa wana utu kushinda polisi.Kuna wale wanna Utu pia
View attachment 1401523
Slum boy akitoa ushauriMbinu mwafaka ni zile ambayo zinatolewa na wataalamu wa afya, wizara za afya, WHO na mashirika husika, sio wanasiasa. Wala ukiukaji wa haki za kibinadamu, kutoka kwa polisi wakiwa kwenye utekelezaji wa mikakati ya kuzuia mikusanyiko ya watu haihusiani moja kwa moja na kuzuia maambukizi ya virusi hivyo. Punguzeni unafik bana. Hivyo hivyo kwa wale ambao wanatoa kauli za kishamba. Kwamba virusi hivyo vitatokomezwa na sijui maombi, mwili wa yesu na ibada makanisani na misikitini. Acheni kuingiza uswahili mwingi, ligi za kiboya na kutafuta kiki za kisiasa kwenye masuala nyeti ambayo yanahusu afya na uhai wa binadamu.
Daaaa naitamani Kenya wakati huu namimi ningekuwa nakandamiza virungu kwa wakenya nikimuona mkenya njiani ni rungu ya kichwa tu PAAA!!! Moja tuThis is bad.
USA, S.Africa wana wagonjwa wengi zaidi yenu na wamepiga marufuku mikusanyiko yeyote ya wananchi wao. Hongereni, maombi yenu yanafanya kazi kweli kweli.Acha maneno mengi na theories za kusifia bila matokeo. Mliopiga marufuku ibada mpo na wagonjwa wangapi, na walioruhusu ibada wapo na wagonjwa wangapi?. Msituletee maneno ya Bigger GDP ambayo haionekani on the ground, kila mradi mnakopa. We need to see the effects on the ground.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjifunze kujisimamia sio kuiga kila jambo linalotoka kwa mabwana zenu, nchi zinamazingira na tabia tofauti, lazima msome mazingira yenu na tamaduni zenu ndio mlinganishe na nchi zingine.USA, S.Africa wana wagonjwa wengi zaidi yenu na wamepiga marufuku mikusanyiko yeyote ya wananchi wao. Hongereni, maombi yenu yanafanya kazi kweli kweli.
Mnaizalilisha Tz tunaoneka wote ni mazwazwaWakati viongozi wa nyumba jirani wameamua kupunguza mishahara yao (kutangaza ili waonekane na kupata sifa) na kuwapa pesa polisi ili wanunue mabomu ya kutoa machozi na virungu, Tanzania mambo yanafanyika kimyakimya, bila kutafuta kiki za kijinga. Tunajipanga hatukurupuki.
Opera News
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbinu mwafaka ni zile ambayo zinatolewa na wataalamu wa afya, wizara za afya, WHO na mashirika husika, sio wanasiasa. Wala ukiukaji wa haki za kibinadamu, kutoka kwa polisi wakiwa kwenye utekelezaji wa mikakati ya kuzuia mikusanyiko ya watu haihusiani moja kwa moja na kuzuia maambukizi ya virusi hivyo. Punguzeni unafik bana. Hivyo hivyo kwa wale ambao wanatoa kauli za kishamba. Kwamba virusi hivyo vitatokomezwa na sijui maombi, mwili wa yesu na ibada makanisani na misikitini. Acheni kuingiza uswahili mwingi, ligi za kiboya na kutafuta kiki za kisiasa kwenye masuala nyeti ambayo yanahusu afya na uhai wa binadamu.
Kapigwa rungu za kutosha baada ya Polisi wa Kenya kusoma huu Uzi waksgundua kuwa laza chini manunda ya slum yana enjoy ,sasa ni rungu za kichwa tu kweli wakikuyu siyo watuLOL wewe si ulicomment kwamba kichapo kiendelee? Imekuja kuwa sad tena?
Alisikika msomi mmoja wa yudisimu akisema.Mnaizalilisha Tz tunaoneka wote ni mazwazwa kama wewe.
Mlipaswa haya maandalizi kufanyika kabla, sio watu wanaumizwa kwanza ndio mnakumbuka kujipanga, acheni kukurupuka kwa kuwaiga wamarekaniUSA, S.Africa wana wagonjwa wengi zaidi yenu na wamepiga marufuku mikusanyiko yeyote ya wananchi wao. Hongereni, maombi yenu yanafanya kazi kweli kweli.
Sio Tz tu jombaa. Huwa najaribu kuwaza aibu kwetu sisi hapa A.M. ingekuwa ya aina gani, kama mijadala ya aina hii ingekuwa hata 80% tu kwa lugha ya kiingereza. Wenzetu huku Afrika wangekuwa wanasema mashariki ni kwa mazero brain. Nimejadiliana sana na warwanda na sanasana waganda, kwenye forum tofauti tofauti na kwenye twitter pia ila akili kama hizi sijaziona hata siku moja.Mnaizalilisha Tz tunaoneka wote ni mazwazwa
Anyone who never changes His mind is a fool.LOL wewe si ulicomment kwamba kichapo kiendelee? Imekuja kuwa sad tena?
Siku hizi unaanza kuwa na busaraAnyone who never changes His mind is a fool.
Huyo hapo ni jeshi la polisi.
Wakenya wamepata busara
Kumbe mkitandikwa ndio mnapata busara!