Je, njia ipi ni nzuri ya kuzuia virusi vya Corona kati ya hizi mbili zinazotumiwa na Tanzania na Kenya?

Je, njia ipi ni nzuri ya kuzuia virusi vya Corona kati ya hizi mbili zinazotumiwa na Tanzania na Kenya?

Njia pekee ya kuzuia Corona ni kujiweka self carantine, we na familia yako. Kupunguza au kuacha muingiliano wowote ule.
Ikiwezekana nje ya mji kidogo.
 
Mbinu mwafaka ni zile ambayo zinatolewa na wataalamu wa afya, wizara za afya, WHO na mashirika husika, sio wanasiasa. Wala ukiukaji wa haki za kibinadamu, kutoka kwa polisi wakiwa kwenye utekelezaji wa mikakati ya kuzuia mikusanyiko ya watu haihusiani moja kwa moja na kuzuia maambukizi ya virusi hivyo. Punguzeni unafik bana. Hivyo hivyo kwa wale ambao wanatoa kauli za kishamba. Kwamba virusi hivyo vitatokomezwa na sijui maombi, mwili wa yesu na ibada makanisani na misikitini. Acheni kuingiza uswahili mwingi, ligi za kiboya na kutafuta kiki za kisiasa kwenye masuala nyeti ambayo yanahusu afya na uhai wa binadamu.
Slum boy akitoa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha maneno mengi na theories za kusifia bila matokeo. Mliopiga marufuku ibada mpo na wagonjwa wangapi, na walioruhusu ibada wapo na wagonjwa wangapi?. Msituletee maneno ya Bigger GDP ambayo haionekani on the ground, kila mradi mnakopa. We need to see the effects on the ground.
Sent using Jamii Forums mobile app
USA, S.Africa wana wagonjwa wengi zaidi yenu na wamepiga marufuku mikusanyiko yeyote ya wananchi wao. Hongereni, maombi yenu yanafanya kazi kweli kweli.
 
USA, S.Africa wana wagonjwa wengi zaidi yenu na wamepiga marufuku mikusanyiko yeyote ya wananchi wao. Hongereni, maombi yenu yanafanya kazi kweli kweli.
Mjifunze kujisimamia sio kuiga kila jambo linalotoka kwa mabwana zenu, nchi zinamazingira na tabia tofauti, lazima msome mazingira yenu na tamaduni zenu ndio mlinganishe na nchi zingine.

USA na South Africa hawana misongamano katika fery Kama Likoni, polisi wao sio wajinga na katili Kama Kenya, kabla hamjaamua kuwaiga, mlipaswa kuyafanyia Kazi hayo mapungufu yenu kwanza na kuweka utaratibu mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati viongozi wa nyumba jirani wameamua kupunguza mishahara yao (kutangaza ili waonekane na kupata sifa) na kuwapa pesa polisi ili wanunue mabomu ya kutoa machozi na virungu, Tanzania mambo yanafanyika kimyakimya, bila kutafuta kiki za kijinga. Tunajipanga hatukurupuki.
Opera News

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaizalilisha Tz tunaoneka wote ni mazwazwa
 
kama madawa na madaktari wameshindwa?.
NINI TEGEMEO LINGINE?
Mbinu mwafaka ni zile ambayo zinatolewa na wataalamu wa afya, wizara za afya, WHO na mashirika husika, sio wanasiasa. Wala ukiukaji wa haki za kibinadamu, kutoka kwa polisi wakiwa kwenye utekelezaji wa mikakati ya kuzuia mikusanyiko ya watu haihusiani moja kwa moja na kuzuia maambukizi ya virusi hivyo. Punguzeni unafik bana. Hivyo hivyo kwa wale ambao wanatoa kauli za kishamba. Kwamba virusi hivyo vitatokomezwa na sijui maombi, mwili wa yesu na ibada makanisani na misikitini. Acheni kuingiza uswahili mwingi, ligi za kiboya na kutafuta kiki za kisiasa kwenye masuala nyeti ambayo yanahusu afya na uhai wa binadamu.
Screenshot_20200328-085356.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA, S.Africa wana wagonjwa wengi zaidi yenu na wamepiga marufuku mikusanyiko yeyote ya wananchi wao. Hongereni, maombi yenu yanafanya kazi kweli kweli.
Mlipaswa haya maandalizi kufanyika kabla, sio watu wanaumizwa kwanza ndio mnakumbuka kujipanga, acheni kukurupuka kwa kuwaiga wamarekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaizalilisha Tz tunaoneka wote ni mazwazwa
Sio Tz tu jombaa. Huwa najaribu kuwaza aibu kwetu sisi hapa A.M. ingekuwa ya aina gani, kama mijadala ya aina hii ingekuwa hata 80% tu kwa lugha ya kiingereza. Wenzetu huku Afrika wangekuwa wanasema mashariki ni kwa mazero brain. Nimejadiliana sana na warwanda na sanasana waganda, kwenye forum tofauti tofauti na kwenye twitter pia ila akili kama hizi sijaziona hata siku moja.
 
Back
Top Bottom