Je, njia ipi ni nzuri ya kuzuia virusi vya Corona kati ya hizi mbili zinazotumiwa na Tanzania na Kenya?

Fyi JF is a tanzania based Forum, Uswahili ndio utamaduni na maisha yetu,
Sasa unafanya nini jf zwazwa wewe, kwa nini usikate huko kwenye hizo forum za Waganda na Warwanda kama hutafuti bwana wa Kitanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehemu yeyote ambapo nimetaja uswahili. Kuna tofauti kubwa kati ya uswahili na uzero brain. Kama jiwe nililotupa gizani ndio limesababisha umwage povu hili, basi itakuwa hata wewe pia upo ndani ya kapu hilo hilo. FYI, sikukuomba ruksa nilipojiunga na Jf, wala huna ubavu au nguvu yeyote ile ya kufanya lolote kuhusu uwepo wangu hapa kwenye jukwaa hili. Buda, tembeza kiatu ukikanyaga kubwa kubwa.
 
This is one of among very important strategies undertaken by Tanzania government to curb the spread of Virus. This is exactly what China did in Wuhan city to stop the spread of Corona, It is called "mass or blanket fumigation", I have never seen this in any other country in this zone, only point fumigation using hand pumps which are less effective cover bigger areas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out! - JamiiForums
 
Every government is also doing the same thing.There is nothing like Better preparation there.
 
There is nothing new or even unique here .This things are even been done by county governments using firetrucks.. ..Labda yakitokea Tanzania unaona yakiwa Extraordinary measures[emoji23]
Onyesha wapi Kenya mumenyunyiza dawa kwa mtindo huu. Jana Mombasa wamemwaga dawa ardhini kama wanapiga deki chini.

This is why Tanzania is doing very good in prevention of Corona, we are leaning from those who have managed to control the disease (China), you keep on with your inflated ego and be prepared to pay very heavy price.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Offcourse utasema ni povu kwasababu unachowaza wewe ni porojo, siasa za peni mbili na kusifia sifia mtakatifu wenu. Soma hizi taarifa na uangalie tarehe kwa umakini. City public health officials start fumigating public places in
Lockdown imewashinda sasa mmebadirisha mnaita curfew eti kuanzia 1 jioni hadi 11 asubuhi kwani mnapambana na majambazi au? Ni corona hiyo inaenea hata mchana. Mnacopy tu kutoka kwa wazungu bila kufikiri kwa kutumia akili zenu. Hopeless kabisa.
 
I will post a video here of Nairobi countyfire trucks spraying streets in Nairobi at night.

This was done Yesterday at night when the streets were free of human and vehicular traffic.Kiambu county also fumigated markets in Thika town.
 
Lockdown imewashinda sasa mmebadirisha mnaita curfew eti kuanzia 1 jioni hadi 11 asubuhi kwani mnapambana na majambazi au? Ni corona hiyo inaenea hata mchana. Mnacopy tu kutoka kwa wazungu bila kufikiri kwa kutumia akili zenu.. hopeless kabisa.
Aliyekuambia kwamba nchini Kenya kuna lockdown au kumekuwepo na lockdown ni nani? Curfew ya usiku ni kwasababu wakenya wamekuwa wakikosa kuzingatia maagizo ya wizara ya afya giza linapoingia. Fanya risechi kuhusu masuala kama hayo kabla ya kutupia upupu wako humu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
County 001 kwa Governor Joho



County 001 Likoni baada ya patashika nguo kuchanika.



Halafu mniambie wabongolala, kwa hali hii Corona itatushinda vipi?
 
Hii mumeanza juzi baada ya kujifunza toka Dar. Ali Hassan Joho aliona kinachofanyika Dar, ndio yeye akaanzisha baada ya kipigo cha Likoni, it is too late too little.

Huku tunatumia mashine zinazotoa ukungu na mvuke, ambao unaingia hadi ndani za majengo na Nyumba, ninyi huko mnatumia maji pekee, hayawezi kupenya na kuingia ndani ya Nyumba. Hata hivyo hongereni kwa kujifunza kwa nchi iliyofanikiwa kupunguza kasi ya maambukizi, nikimaanisha Tanzania[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oh no!!! Here comes another d!¢k measuring contest.

Vipi tujuze pia kuhusu ya MV Magogoni na MVs nyengine. Joho pia nayo ka-copy paste pia????
 
Oh no!!! Here comes another d!¢k measuring contest.

Vipi tujuze pia kuhusu ya MV Magogoni na MVs nyengine. Joho pia nayo ka-copy paste pia????
Hiyo sijui, lakini hii imeanza juzi huko Mombasa, na jana Nairobi chini ya Sonko pia mumeanza, kwa Mombasa inaweza kusaidia kwasababu maambukizi sio mengi, ila kwa Nairobi sidhani kama itasaidia.

Ila kitu kimoja ambacho ninawapongeza na ningepesa kusikia kwamba mnaendelea kuiga yale mazuri yanayofanywa na jirani yako. Kuna mambo ya kiuongozi serikalini tumeyafanya, ni vizuri pia kama serikali yenu itakuja kujifunza ili kupunguza kasi ya maambukizi kama ambavyo sisi tumeanza kufanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This things started on Friday. Sonko rescue team ndo wameanza jana. Anyway wacha nikuache uendelee kushabikia vituko sasa trucksmbili zitapuliza hadi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…