Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Usiulize ilo swali utapata ugonjwa wa kucheka polisi wa Kenya wanavaa kombati mseto wa jeshi na mgambo ni kichekesho wanaonekana kama wavuta bangi wenye siraha
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiulize ilo swali utapata ugonjwa wa kucheka polisi wa Kenya wanavaa kombati mseto wa jeshi na mgambo ni kichekesho wanaonekana kama wavuta bangi wenye siraha
Hakuna sehemu yeyote ambapo nimetaja uswahili. Kuna tofauti kubwa kati ya uswahili na uzero brain. Kama jiwe nililotupa gizani ndio limesababisha umwage povu hili, basi itakuwa hata wewe pia upo ndani ya kapu hilo hilo. FYI, sikukuomba ruksa nilipojiunga na Jf, wala huna ubavu au nguvu yeyote ile ya kufanya lolote kuhusu uwepo wangu hapa kwenye jukwaa hili. Buda, tembeza kiatu ukikanyaga kubwa kubwa.Fyi JF is a tanzania based Forum, Uswahili ndio utamaduni na maisha yetu,
Sasa unafanya nini jf zwazwa wewe, kwa nini usikate huko kwenye hizo forum za Waganda na Warwanda kama hutafuti bwana wa Kitanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
This is one of among very important strategies undertaken by Tanzania government to curb the spread of Virus. This is exactly what China did in Wuhan city to stop the spread of Corona, It is called "mass or blanket fumigation", I have never seen this in any other country in this zone, only point fumigation using hand pumps which are less effective cover bigger areasIf the approach is the same all over the world, then what is this bullshit you are trying to imply here,'ati magufuli has a better strategy than that of Kenya' hahahaa......you must be insane.Its like kenya trying to say it has better measures than Egypt coz of fewer infections .
Even try to see treatment of those tested positive n sent to isolation units! While in Kunyaland a South African national commit suicidein Nakuru, in Tanzania those in isolation seem to do just fine!
Every government is also doing the same thing.There is nothing like Better preparation there.You can have a point there, even in Tanzania all cases are imported except one, which also had contact with someone who travelled recently.
But also it depends with the way the government is prepared to handle those imported cases. There is no doubt that Tanzania is more prepared than many of its neighbors, Tanzania is visited by many foreigners than Uganda, Rwanda and Zambia for example, but Tanzania has fewer cases than those countries, despite the fact that Uganda and Zambia closed their borders far earlier and got their first cases latter than Tanzania.
Kenya also is less prepared compared to Tanzania, good example is the case of deputy governor of Kilifi. But also if you see the way Government of Tanzania has put structure on how to fight this pandemic, from The president himself, through Prime Minister who is the In charge of special ministerial committee, down to district level, you will definitely agree that Tanzania is much better prepared than Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Onyesha wapi Kenya mumenyunyiza dawa kwa mtindo huu. Jana Mombasa wamemwaga dawa ardhini kama wanapiga deki chini.There is nothing new or even unique here .This things are even been done by county governments using firetrucks.. ..Labda yakitokea Tanzania unaona yakiwa Extraordinary measures[emoji23]
Show us pleaseEvery government is also doing the same thing.There is nothing like Better preparation there.
Lockdown imewashinda sasa mmebadirisha mnaita curfew eti kuanzia 1 jioni hadi 11 asubuhi kwani mnapambana na majambazi au? Ni corona hiyo inaenea hata mchana. Mnacopy tu kutoka kwa wazungu bila kufikiri kwa kutumia akili zenu. Hopeless kabisa.Offcourse utasema ni povu kwasababu unachowaza wewe ni porojo, siasa za peni mbili na kusifia sifia mtakatifu wenu. Soma hizi taarifa na uangalie tarehe kwa umakini. City public health officials start fumigating public places in
I will post a video here of Nairobi countyfire trucks spraying streets in Nairobi at night.Onyesha wapi Kenya mumenyunyiza dawa kwa mtindo huu. Jana Mombasa wamemwaga dawa ardhini kama wanapiga deki chini.
This is why Tanzania is doing very good in prevention of Corona, we are leaning from those who have managed to control the disease (China), you keep on with your inflated ego and be prepared to pay very heavy price.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekuambia kwamba nchini Kenya kuna lockdown au kumekuwepo na lockdown ni nani? Curfew ya usiku ni kwasababu wakenya wamekuwa wakikosa kuzingatia maagizo ya wizara ya afya giza linapoingia. Fanya risechi kuhusu masuala kama hayo kabla ya kutupia upupu wako humu.Lockdown imewashinda sasa mmebadirisha mnaita curfew eti kuanzia 1 jioni hadi 11 asubuhi kwani mnapambana na majambazi au? Ni corona hiyo inaenea hata mchana. Mnacopy tu kutoka kwa wazungu bila kufikiri kwa kutumia akili zenu.. hopeless kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Sio Tz tu jombaa. Huwa najaribu kuwaza aibu kwetu sisi hapa A.M. ingekuwa ya aina gani, kama mijadala ya aina hii ingekuwa hata 80% tu kwa lugha ya kiingereza. Wenzetu huku Afrika wangekuwa wanasema mashariki ni kwa mazero brain. Nimejadiliana sana na warwanda na sanasana waganda, kwenye forum tofauti tofauti na kwenye twitter pia ila akili kama hizi sijaziona hata siku moja.
Hii mumeanza juzi baada ya kujifunza toka Dar. Ali Hassan Joho aliona kinachofanyika Dar, ndio yeye akaanzisha baada ya kipigo cha Likoni, it is too late too little.County 001 kwa Governor Joho
View attachment 1403443View attachment 1403444View attachment 1403445View attachment 1403446View attachment 1403447View attachment 1403448View attachment 1403449
County 001 Likoni baada ya patashika nguo kuchanika.
View attachment 1403451View attachment 1403452View attachment 1403453View attachment 1403454
Halafu mniambie wabongolala, kwa hali hii Corona itatushinda vipi?
Oh no!!! Here comes another d!¢k measuring contest.Hii mumeanza juzi baada ya kujifunza toka Dar. Ali Hassan Joho aliona kinachofanyika Dar, ndio yeye akaanzisha baada ya kipigo cha Likoni, it is too late too little.
Huku tunatumia mashine zinazotoa ukungu na mvuke, ambao unaingia hadi ndani za majengo na Nyumba, ninyi huko mnatumia maji pekee, hayawezi kupenya na kuingia ndani ya Nyumba. Hata hivyo hongereni kwa kujifunza kwa nchi iliyofanikiwa kupunguza kasi ya maambukizi, nikimaanisha Tanzania[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sijui, lakini hii imeanza juzi huko Mombasa, na jana Nairobi chini ya Sonko pia mumeanza, kwa Mombasa inaweza kusaidia kwasababu maambukizi sio mengi, ila kwa Nairobi sidhani kama itasaidia.Oh no!!! Here comes another d!¢k measuring contest.
Vipi tujuze pia kuhusu ya MV Magogoni na MVs nyengine. Joho pia nayo ka-copy paste pia????
This things started on Friday. Sonko rescue team ndo wameanza jana. Anyway wacha nikuache uendelee kushabikia vituko sasa trucksmbili zitapuliza hadi wapi?Hiyo sijui, lakini hii imeanza juzi huko Mombasa, na jana Nairobi chini ya Sonko pia mumeanza, kwa Mombasa inaweza kusaidia kwasababu maambukizi sio mengi, ila kwa Nairobi sidhani kama itasaidia.
Ila kitu kimoja ambacho ninawapongeza na ningepesa kusikia kwamba mnaendelea kuiga yale mazuri yanayofanywa na jirani yako. Kuna mambo ya kiuongozi serikalini tumeyafanya, ni vizuri pia kama serikali yenu itakuja kujifunza ili kupunguza kasi ya maambukizi kama ambavyo sisi tumeanza kufanikiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app