Je, njia ipi ni nzuri ya kuzuia virusi vya Corona kati ya hizi mbili zinazotumiwa na Tanzania na Kenya?

Je, njia ipi ni nzuri ya kuzuia virusi vya Corona kati ya hizi mbili zinazotumiwa na Tanzania na Kenya?

This things started on Friday.Sonko rescue team ndo wameanza jana. Anyway wacha nikuache uendelee kushabikia vituko sasa trucksmbili zitapuliza hadi wapi?
Two weeks ago,
Muthurwa na gikomba areas
 
This things started on Friday.Sonko rescue team ndo wameanza jana.
anyway wacha nikuache uendelee kushabikia vituko sasa trucksmbili zitapuliza hadi wapi?
That shows your stupidity, ulitaka trucks zote zionyeshwe hapa?, Sonko anasema Nairobi zipo 20, lakini kwenye picha tumeona mbili tuu[emoji23][emoji23].

Vipi Sonko amesharuhusiwa kurudi ofisini kwake? Kweli Kenya ina wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That shows your stupidity, ulitaka trucks zote zionyeshwe hapa?, Sonko anasema Nairobi zipo 20, lakini kwenye picha tumeona mbili tuu[emoji23][emoji23].

Vipi Sonko amesharuhusiwa kurudi ofisini kwake?, kweli Kenya inawenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sonko is no longer incharge of Nairobi.he is just being philanthropic like he has always been ata hizo trucks kwenye picha zimeandikwa sonko rescue team not Nairobi county government.
 
Hiyo sijui, lakini hii imeanza juzi huko Mombasa, na jana Nairobi chini ya Sonko pia mumeanza, kwa Mombasa inaweza kusaidia kwasababu maambukizi sio mengi, ila kwa Nairobi sidhani kama itasaidia.

Ila kitu kimoja ambacho ninawapongeza na ningepesa kusikia kwamba mnaendelea kuiga yale mazuri yanayofanywa na jirani yako. Kuna mambo ya kiuongozi serikalini tumeyafanya, ni vizuri pia kama serikali yenu itakuja kujifunza ili kupunguza kasi ya maambukizi kama ambavyo sisi tumeanza kufanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongereni sana maanake hapa kijiweni nasikia kuanzia 01/04/2020, ni "Level Seat" kwenye daladala zenu ambazo najua changamoto itakuwa si haba. Haya, hilo wazo lilikuwa lenu pia eeeeeeehhhh? Kwa sababu nakumbuka "Michuki Rules" ya kubeba seat level ilianza 2003. Miaka 17 baadae, Danganyika ndio wanavuta shuka wakati kumeshakucha. Sisi sasa hivi tunazungumzia 60% occupancy, leo hii Wabongo-ganda mnazungumzia "Level Seat". Tutafika tu.
 
Lockdown imewashinda sasa mmebadirisha mnaita curfew eti kuanzia 1 jioni hadi 11 asubuhi kwani mnapambana na majambazi au? Ni corona hiyo inaenea hata mchana. Mnacopy tu kutoka kwa wazungu bila kufikiri kwa kutumia akili zenu.. hopeless kabisa.


While your friend joto la jiwe is bragging of copying from China and bashing us for refusing copy, you're here bashing us for copying. Wabongo mna shida
 
Wakenya wamegundua kwamba virusi vya CORONA havisambai Wala kuambukizwa mchana Ni usiku tu. Wanatakiwa kupewa TUZO ya NOBEL
 
Hawa jirani huwa hatuwaelewi kabisa. Hebu angalia brutality wanayoifanya hao wenye dhamana ya wananchi
Au ndio njia ya kudhulumu mali za watu maana sio kwa kupiga huko.


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom