Hiyo sijui, lakini hii imeanza juzi huko Mombasa, na jana Nairobi chini ya Sonko pia mumeanza, kwa Mombasa inaweza kusaidia kwasababu maambukizi sio mengi, ila kwa Nairobi sidhani kama itasaidia.
Ila kitu kimoja ambacho ninawapongeza na ningepesa kusikia kwamba mnaendelea kuiga yale mazuri yanayofanywa na jirani yako. Kuna mambo ya kiuongozi serikalini tumeyafanya, ni vizuri pia kama serikali yenu itakuja kujifunza ili kupunguza kasi ya maambukizi kama ambavyo sisi tumeanza kufanikiwa.
Sent using
Jamii Forums mobile app