Je, nyama ya nguruwe inafaa kwa supu?

Je, nyama ya nguruwe inafaa kwa supu?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Za asubuhi wakuu,

No offense to my muslim folks, naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi kukuta sehemu wanauza supu ya mdudu.

Kiukweli Mimi kuzunguka kwangu kote nlibahatisha sehemu kuna supu ya KONGORO la mdudu Ila sio Ile pure nyama kabisa.

Napenda kuuliza, je nyama yake haifai Kwa supu au kuna madhara yatokanayo na kuinywa supu yake?
 
Inafaa ukichanganya na ndizi
Mchemsho wake ni mtamu sana.
 
Za asubuhi wakuu,

No offense to my muslim folks, naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi kukuta sehemu wanauza supu ya mdudu.

Kiukweli Mimi kuzunguka kwangu kote nlibahatisha sehemu kuna supu ya KONGORO la mdudu Ila sio Ile pure nyama kabisa.

Napenda kuuliza, je nyama yake haifai Kwa supu au kuna madhara yatokanayo na kuinywa supu yake?
Supu ya mdudu ipo na ni nzuri sana. Sema watu wenye tamaa huwa wanaimalizia machinjioni. Kule Mandaka-Kilema niliona jamaa wanakunywa hadi kisusio cha damu ya mdudu halafu wanashushia na pure/gongo.... baada ya hapo wanatoka jasho kama wanahoma ya usiku....Hatari sana kwa kweli
 
Mkuu uliionja? Je ni tamu kama supu ya Mbuzi au kuku? Hiko kisusio kinakua kimepikwa ama?
 
Ilivyo na mafuta utakunywaje? Ila wife huwa anapikia ndizi za kwao Moshi zinakua tamu sana. Kitimoto huwa ni tamu asikuambie mtu. Alinifundisha wife kula maana huko mikoa ya Kaskazini ni asili yao.
Unaipiga mchemsho wa ndizi?
 
Nashkuru mkuu, unaweza kutoa recipe yake?
Ni kama unavyopika tu ndizi na nyama ya ng'ombe au mbuzi.

Waweza weka na kitunguu,carrots na hoho..nyinyizia na tangawizi kidogo kutoa ile shombo ya nguruwe.
Mafuta usiweke kabisa maana hiyo nyama Ina mafuta ya kutosha..tia tu maji uvichemshe pamoja.
Utatamani ule kila siku my dear
 
Back
Top Bottom