aikamatemu
JF-Expert Member
- Jan 29, 2020
- 464
- 1,897
Noma sana hii kituNimeonja aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana hii kituNimeonja aisee
Mkuu hiyo kitu inawezekana kabisaa kuna mahali Mbeya (Tukuyu) kuna mama anatengeza iko saaf kabisaaa.Za asubuhi wakuu,
No offense to my muslim folks, naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi kukuta sehemu wanauza supu ya mdudu.
Kiukweli Mimi kuzunguka kwangu kote nlibahatisha sehemu kuna supu ya KONGORO la mdudu Ila sio Ile pure nyama kabisa.
Napenda kuuliza, je nyama yake haifai Kwa supu au kuna madhara yatokanayo na kuinywa supu yake?
[emoji23][emoji23][emoji23]hii kitu achana nayo mkuu nawashangaa wanapoiita haramuAlivyosifiwa huyu mnyama, inaonekana hata akiwa mbichi analika
Yule nyuma ya stendi au mwingine?Mkuu hiyo kitu inawezekana kabisaa kuna mahali Mbeya (Tukuyu) kuna mama anatengeza iko saaf kabisaaa.
Nimekumbuka Zamani sana walikua wanachoma tu mdudu vilabuni,wala hakuwa maarufu,Ni manyoya yake tu ndo hayana kazi, tena ukipata wale wa huko vijijini wanaofugwa km mbuzi wanakuwa kama ngiri watamu kinoma hawana mafuta mengi nk
Ndio babu kijana kitifire ya kuchoma nayo ni tamu mno, hawa nguruwe wa mijini sio watamu kama wa bush nasikia wanapewa ARV ili wanoneNimekumbuka Zamani sana walikua wanachoma tu mdudu vilabuni,wala hakuwa maarufu,
Nakumbuka mdogo wa mdingi kijijini kule Tokyo
Nikienda likizo alikua mlevi mlevi basi akienda kilabuni tunaongozana
Mi kazi yangu ilikua kula kitimoto choma tu na ndizi huko tamu balaa.
Walikua hawakaangi
RIP🙏
mda wa kurudi yuko mbwai nimshikilie mpk afike maghetoni kwake😅.
Alikufa kijana sana
mimi nimuslim ila sijawahi sikia kwamba pia kuna supu ya mbuzu katolikiZa asubuhi wakuu,
No offense to my muslim folks, naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi kukuta sehemu wanauza supu ya mdudu.
Kiukweli Mimi kuzunguka kwangu kote nlibahatisha sehemu kuna supu ya KONGORO la mdudu Ila sio Ile pure nyama kabisa.
Napenda kuuliza, je nyama yake haifai Kwa supu au kuna madhara yatokanayo na kuinywa supu yake?