donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji38][emoji38][emoji38]We ulisikia wapi..
Ilivyo na mafuta utakunywaje? Ila wife huwa anapikia ndizi za kwao Moshi zinakua tamu sana. Kitimoto huwa ni tamu asikuambie mtu. Alinifunfisha wife kula maana huko mikoa ya Kaskazini ni asili yao.
Inafaa ukichanganya na ndiziZa asubuhi wakuu,
No offense to my muslim folks, naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi kukuta sehemu wanauza supu ya mdudu.
Kiukweli Mimi kuzunguka kwangu kote nlibahatisha sehemu kuna supu ya KONGORO la mdudu Ila sio Ile pure nyama kabisa.
Napenda kuuliza, je nyama yake haifai Kwa supu au kuna madhara yatokanayo na kuinywa supu yake?
Supu ya mdudu ipo na ni nzuri sana. Sema watu wenye tamaa huwa wanaimalizia machinjioni. Kule Mandaka-Kilema niliona jamaa wanakunywa hadi kisusio cha damu ya mdudu halafu wanashushia na pure/gongo.... baada ya hapo wanatoka jasho kama wanahoma ya usiku....Hatari sana kwa kweliZa asubuhi wakuu,
No offense to my muslim folks, naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi kukuta sehemu wanauza supu ya mdudu.
Kiukweli Mimi kuzunguka kwangu kote nlibahatisha sehemu kuna supu ya KONGORO la mdudu Ila sio Ile pure nyama kabisa.
Napenda kuuliza, je nyama yake haifai Kwa supu au kuna madhara yatokanayo na kuinywa supu yake?
Mkuu uliionja? Je ni tamu kama supu ya Mbuzi au kuku? Hiko kisusio kinakua kimepikwa ama?Supu ya mdudu ipo na ni nzuri sana. Sema watu wenye tamaa huwa wanaimalizia machinjioni. Kule Mandaka-Kilema niliona jamaa wanakunywa hadi kisusio cha damu ya mdudu halafu wanashushia na pure/gongo.... baada ya hapo wanatoka jasho kama wanahoma ya usiku....Hatari sana kwa kweli
Ndio maana nikasema no offense mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha supu lazima itakuwa inawezekana ila utakuwa unatafuta ugomvi humu ndani
Unaipiga mchemsho wa ndizi?Ilivyo na mafuta utakunywaje? Ila wife huwa anapikia ndizi za kwao Moshi zinakua tamu sana. Kitimoto huwa ni tamu asikuambie mtu. Alinifundisha wife kula maana huko mikoa ya Kaskazini ni asili yao.
Halafu kule bei chee. Daah sitasahau nlivokamatwa pale KINAPAmdudu ni mtamu sana kusema kweli.nilipokua Moshi nilikua ni karibu kila siku
Nashkuru mkuu, unaweza kutoa recipe yake?Inafaa ukichanganya na ndizi
Mchemsho wake ni mtamu sana.
Uongo wako mkuu si wa nchi hiiChemsha kile kichwa chake chote kama kilivyo,supu yake inakuwa ni nene sana
Niko poa mjukuu wa anko mudiKafiri mambo?[emoji41][emoji41][emoji41]
Utamuwake kama supu ya pweza.🤣🤣🤣Mkuu uliionja? Je ni tamu kama supu ya Mbuzi au kuku? Hiko kisusio kinakua kimepikwa ama?
Ni kama unavyopika tu ndizi na nyama ya ng'ombe au mbuzi.Nashkuru mkuu, unaweza kutoa recipe yake?