Joel Johansen
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 242
- 320
unamaanisha madini au mifupa iliyoko ndani ya makaburi?Utajiri wa uwakika uko chini ya ardhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unamaanisha madini au mifupa iliyoko ndani ya makaburi?Utajiri wa uwakika uko chini ya ardhi
kwa nia mjema tu hutaweza nielewa kama huna angalau basic knowledge ya finance, ndio utaweza jua tofauti ya idadi ya pesa (money terms) na thamani halisi ya bidhaa, ni jambo lkawaida sana watu kuchanganya vitu hy 2, mm nakuelewa unacheleza vzr ila namna ya mm kukufafanulia au kukuelimisha kwa ufupi sana ni ngumuKwan thamani ya nyumba ndo itakuwa ile ile? Kwan ukiuza nyumba after 10yrs bado itakuwa milioni 80? Nyumba yaweza kuwa outdated kama baadhi ya nyumba pale kariakoo, lakin thaman ya kiwanja itaendelea kuwa kubwa daima. Kubali tu kuwa assumptions zako hazikuwa sahihi. Hatupo mahakamani ambapo ukikiri unafungwa.
Baada ya tetemeko kuikumba mikoa kadhaa ya kanda ziwa,nimeanza kujiuliza kama kumilki nyumba bado ni asset ya kuaminika kama tulivyozoea.
Ni kawaida kusikia mtu anasema ukitaka kuwekeza na hela yako isipotee kirahisi,wekeza katika majengo na wala si vyombo vya moto au kitu kingine chochote.
Sometimes ni bora hata chombo cha moto unaweza kukikarabati kwa gharama ndogo na kikatengamaa kuliko hekalu lililoporomoka kutokana na tetemeko.
Baada ya tukio hili la tetemeko, nimeamini asset ni ile tu iliyowekewa bima na hata kama una jumba lako lakini halina bima, basi ujue unajidanganya tu maana moto nao hauwezi kukuacha salama.
Nasema hivi kwasababu naamini inawezekana zaidi ya asilimia 97 ya nyumba zilizobomoka hazikuwa na bima yoyote ikiwemo bima ya moto na wengi wao waliamini wameshajikomboa kimaisha kwa kumiliki nyumba bila kujali ni ya ukubwa gani ili mradi tu ana nyumba.
Tukio hili liwe funzo kwa watu kuwekea bima mali zao zikiwemo nyumba zao.
Kazi kweli kweli..! Yaani kupanga mipango hadi uwe na nyumba ya kuishi..? Tatizo sio kujenga bali kujenga nini na kwa nini. Nyumba ya kuishi ni LIABILITY lakn ni vzur kuwa nayo kama "social security".Umejaribu kufafanua ila kuna sehemu inabidi nifafanue zaidi,
Kwanza nyumba Bado ni asset
Pili nyumba sio utajiri,
Tatu kuwa na nyumba ya kuishi ni bora zaidi kwa sababu unakuwa na sehemu tulivu zaidi ya kupangia mipango yako,
Nne nyumba unaweza kusema sio asset vipi kuhusu kiwanja?
Nachoona mimi watu wanazungumzia nyumba za ndani ndani huko ambazo aziwaingizii chochote...mimi naipangisha nyumba yangu mikocheni dollar 1200X12= kwa mwaka ni over 30M Sasa Mtu aniambie sio asset nitamshangaa ikiwa niko na Iyo nyumba toka 2000
Hahaa! Huwa nacheka kimoyomoyo nikiona mfanyakazi aliyejenga nyumba za kupanga halafu akastaf akimwita mpangaji "mheshimiwa" kisa mpangaji katishia kuhama.
LOCATION NDIYO KITU CHA KUZINGATIA...mjini, karibu na shule au chuo...karibu na ufukwe wa aina yeyote. .bahari au ziwa. .hilo ni bingoNakubaliana na wewe kabsa kwa maana pana....lakin katika inchi ambazo uchumi unakuwa kama zetu hiz bado value itaongezeka...si kwa 100% but itaongezeka.
Pia ileweke hapa nyumba inategemea na mtaji wa mtu katika kuwekeza...hapa wengi wanazungumzia bajet za mil 80 na zaid....kwangu hyo ni bajet kubwa sana...mie binafs nalenga soko la watu wa chini...zile nyumba zimejengwa kama shule....yaan unajaza humo wapangaji wanakuwa wanapigia taarabu humoooo mwisho wa mwez wananipa changu....yaan mfano ipo moja ina vyumba 10 kwa elf 50 kila mwez...! Hii nyumba hata ikiporomoka thaman bado nipata mtu wa kupanga room 50elf.
So my take...ni jinsi mtu anavoendea hili jambo la soko unalolifikiria
Heshima nyingi Mkuu..!Asset kubwa ya binadamu ni akili yake.
Na hakika ana akili kubwa sana huyo, yaweza kuwa ni msomi mzr au hata experienced businessmanshida yako unatakaga ujifanye una akili sana
Sawa mkuu, nashukuru kwa kunijibu kiungwana. Binafsi nilidhani hili suala ni common sense zaidi, halihitaji basic finance knowledge. Watu wa finance mtafikiria kuhusu depreciation ya nyumba-hiyo mimi pia naikubali. Nakubali pia kuwa kiwanja ilipojengwa nyumba always kina-appreciate.kwa nia mjema tu hutaweza nielewa kama huna angalau basic knowledge ya finance, ndio utaweza jua tofauti ya idadi ya pesa (money terms) na thamani halisi ya bidhaa, ni jambo lkawaida sana watu kuchanganya vitu hy 2, mm nakuelewa unacheleza vzr ila namna ya mm kukufafanulia au kukuelimisha kwa ufupi sana ni ngumu
Sidhan kama nyumba unayoipromote inaweza kuwa na worth hiyooo. Asset pekee ni elimu hiyo baba ukiweka kwako au kwa mtoto return yake utaikubaliNyumba bado ni asset kubwa na muhimu kuliko assets nyingine zote.
Kwahiyo kwa vile una nyumba mikocheni na makumbusho unahaki ya kubisha anachosema mwenzio au unadhani wana JF wote wananyumba DSM[emoji23][emoji23][emoji23] vitu nisivyokua na uhakika navyo?!!! Nina nyumba mbili makumbusho na mikocheni ....
Sidhan kama nyumba unayoipromote inaweza kuwa na worth hiyooo. Asset pekee ni elimu hiyo baba ukiweka kwako au kwa mtoto return yake utaikubali
Ingawa sijasoma hicho kitabu lakini nimekubaliana na wewe.. nyumba ni makazi ya kuishi tu, ambayo kwa namna hiyo ina umuhimu kuwa nayo ili uishi vizuri lakini sio kuifanya kwamba ni asset ya kuitegemea kupata fedhakuna current assets na fixed assets. According to book of rich dad poor dad,kuwa na nyumba ni majanga. inakuingiza kwenye gharamaz a repair na renovation.
Na hakika ana akili kubwa sana huyo, yaweza kuwa ni msomi mzr au hata experienced businessman
Nakupa mifano michache tu live, 1.kuna tajiri mmoja alikuwa na viwanda mali ya kuuza nje,mahotel zaidi 2, majumba, Magari, ana 60s AMEFIRISIKA NA HATA MKE AMEKIMBIA, utaambiwa mikopo, sijui masoko kubadilika, sijui dharau
2. Wapo wahindi ninaowajuwa matajiri sana tu TZ ukiwa rank wanaweza kuwa kwenye 30 to 50 kwa utajiri TZ madika ya jumla, kwenye NHC, wanaishi flats za NHC hawana kabisa nyumba zao kama asset mbali na viwanda, na maduka ,magari na kila kukicha wanaendelea kutajirika,
3.Kuna mzee mmoja amefariki hivi karibuni tu, anawatoto mzee wa kiume,kike kibao aliacha magorofa , yards, magari, mjumba ya kwd, viwanja, ndani ya miaka km nne familiya yooote ni FUKARA WA KUTUPWA hakuna hata kiwanja.
KWA MAANA HIYO ASSET KUBWA KULIKO ZOTE NI KICHWA CHAKO (Knowledge, Exposure, Experiance , networking, softskills, Financial Intelligence,education )
Wenzentu wahindi wako mbele 100 yrs kwenye ujasriamali
HONGERA SANA NYANI NGADU
Kama Bakhresa na wenzake wana watoto hapa jf watapata shida kurithisha viwanda vyao maana wengi wataomba kurithi nyumba kumbe za NHC.
Naona mbeleni watoto watarithishwa nyumba na wataaminishwa kuwa nyumba ni ujasiriamali.
In Mali "asset" kama ilijengwa kwa kulinganisha fursa mbalimbali za uwekezaji/uzalishaji mali na ikaonekana nyumba ni kipaumbele. Kama ilijengwa kwa ajili ya kuweka viti, Mesa, vitanda na kabati la vyombo tunavyopata kwenye harusi halafu familia ikalala na kuanza kuwaze kesho itakuwaje hiyo si asset.Nyumba sio ujasirimali nyumba ni mali- asset.