Je, nyumba bado ni asset ya uhakika kuliko asset zingine zote?

kwa nia mjema tu hutaweza nielewa kama huna angalau basic knowledge ya finance, ndio utaweza jua tofauti ya idadi ya pesa (money terms) na thamani halisi ya bidhaa, ni jambo lkawaida sana watu kuchanganya vitu hy 2, mm nakuelewa unacheleza vzr ila namna ya mm kukufafanulia au kukuelimisha kwa ufupi sana ni ngumu
 
Hahaa! Huwa nacheka kimoyomoyo nikiona mfanyakazi aliyejenga nyumba za kupanga halafu akastaf akimwita mpangaji "mheshimiwa" kisa mpangaji katishia kuhama.
 

Ila mkuu bima ya moto ni rahisi kuipata lakini sio ya majanga kama mafuriko au matetemeko na vimbunga.

Lakini ni wazo zuri kuwakumbusha watanzania umuhimu wa kujenga kwa malengo.

Ukiangalia sana wahanga wa tetemeko si wale wenye uwezo mkubwa sana wa kujenga nyumba za kifahari kwa kuangalia maeneo walojenga.
 
Kazi kweli kweli..! Yaani kupanga mipango hadi uwe na nyumba ya kuishi..? Tatizo sio kujenga bali kujenga nini na kwa nini. Nyumba ya kuishi ni LIABILITY lakn ni vzur kuwa nayo kama "social security".
 
Nachoona mimi watu wanazungumzia nyumba za ndani ndani huko ambazo aziwaingizii chochote...mimi naipangisha nyumba yangu mikocheni dollar 1200X12= kwa mwaka ni over 30M Sasa Mtu aniambie sio asset nitamshangaa ikiwa niko na Iyo nyumba toka 2000

Naona wahasibu na wajasirimali tunabadilishana mawazo.

Wahasibu wameweka sana hoja yao kwenye uhasibu na mahesabu.

Ila nyumba ni asset na wakati mwingine huitwa safe asset au asset investiment kama Stocks (mvinyo, madini) na amana za serikali.

Yaani hizi ni mali ambazo mtu akiwa nazo anakuwa hasumbuki.

Tatizo ni udhibiti wa mali hizi na namna ya kuziendeleza bila kusahau kuzigawa kabisa kwa warithi kama wapo.
 
Hahaa! Huwa nacheka kimoyomoyo nikiona mfanyakazi aliyejenga nyumba za kupanga halafu akastaf akimwita mpangaji "mheshimiwa" kisa mpangaji katishia kuhama.

Sasa huwezi kujenga nyumba then uipangishe halafu utegemee kuja kuishi humo hiyo siyo biashara sawia.
 
LOCATION NDIYO KITU CHA KUZINGATIA...mjini, karibu na shule au chuo...karibu na ufukwe wa aina yeyote. .bahari au ziwa. .hilo ni bingo
 
shida yako unatakaga ujifanye una akili sana
Na hakika ana akili kubwa sana huyo, yaweza kuwa ni msomi mzr au hata experienced businessman

Nakupa mifano michache tu live, 1.kuna tajiri mmoja alikuwa na viwanda mali ya kuuza nje,mahotel zaidi 2, majumba, Magari, ana 60s AMEFIRISIKA NA HATA MKE AMEKIMBIA, utaambiwa mikopo, sijui masoko kubadilika, sijui dharau

2. Wapo wahindi ninaowajuwa matajiri sana tu TZ ukiwa rank wanaweza kuwa kwenye 30 to 50 kwa utajiri TZ madika ya jumla, kwenye NHC, wanaishi flats za NHC hawana kabisa nyumba zao kama asset mbali na viwanda, na maduka ,magari na kila kukicha wanaendelea kutajirika,

3.Kuna mzee mmoja amefariki hivi karibuni tu, anawatoto mzee wa kiume,kike kibao aliacha magorofa , yards, magari, mjumba ya kwd, viwanja, ndani ya miaka km nne familiya yooote ni FUKARA WA KUTUPWA hakuna hata kiwanja.

KWA MAANA HIYO ASSET KUBWA KULIKO ZOTE NI KICHWA CHAKO (Knowledge, Exposure, Experiance , networking, softskills, Financial Intelligence,education )

Wenzentu wahindi wako mbele 100 yrs kwenye ujasriamali

HONGERA SANA NYANI NGADU
 
Sawa mkuu, nashukuru kwa kunijibu kiungwana. Binafsi nilidhani hili suala ni common sense zaidi, halihitaji basic finance knowledge. Watu wa finance mtafikiria kuhusu depreciation ya nyumba-hiyo mimi pia naikubali. Nakubali pia kuwa kiwanja ilipojengwa nyumba always kina-appreciate.
 
Nyumba bado ni asset kubwa na muhimu kuliko assets nyingine zote.
Sidhan kama nyumba unayoipromote inaweza kuwa na worth hiyooo. Asset pekee ni elimu hiyo baba ukiweka kwako au kwa mtoto return yake utaikubali
 
[emoji23][emoji23][emoji23] vitu nisivyokua na uhakika navyo?!!! Nina nyumba mbili makumbusho na mikocheni ....
Kwahiyo kwa vile una nyumba mikocheni na makumbusho unahaki ya kubisha anachosema mwenzio au unadhani wana JF wote wananyumba DSM
 
Ndiyo matatizo yenu baadhi ya Watanzania, kubadili maana halisi ya maneno kuja na maana mzitakazo. Elimu unaweza kuwa nayo na isikupe ajira. Acheni kupotosha fani ambazo hamzijui fanyeni utafiti wa kina kwanza au kuuliza maana ya maneno kama hili la asset. Nazungumzia nyumba yenye hadhi ya kuitwa nyumba, si banda la kuku wala la ng'ombe.


Sidhan kama nyumba unayoipromote inaweza kuwa na worth hiyooo. Asset pekee ni elimu hiyo baba ukiweka kwako au kwa mtoto return yake utaikubali
 
kuna current assets na fixed assets. According to book of rich dad poor dad,kuwa na nyumba ni majanga. inakuingiza kwenye gharamaz a repair na renovation.
Ingawa sijasoma hicho kitabu lakini nimekubaliana na wewe.. nyumba ni makazi ya kuishi tu, ambayo kwa namna hiyo ina umuhimu kuwa nayo ili uishi vizuri lakini sio kuifanya kwamba ni asset ya kuitegemea kupata fedha
 
Kama Bakhresa na wenzake wana watoto hapa jf watapata shida kurithisha viwanda vyao maana wengi wataomba kurithi nyumba kumbe za NHC.
Naona mbeleni watoto watarithishwa nyumba na wataaminishwa kuwa nyumba ni ujasiriamali.
 

Nawaheshimu sana wale wahindi wanaopunga upepeo posta ya zamani siku za jumapili, ni mtajiri balaa.

Na wanavaa kawaida tu na kuchomekea shati na kandambili.

Vekesheni kubwa Canada, UK, Dubai, New York (tena kwa ndugu zao na wanasave pesa ya hoteli) etc.

Wengine wanaopanga nyumba za NHC wanazitumia kama nyumba za kupangisha na wenzao wa mikoani ama Tabora au Singida wakija Dar wanapanga kwa muda na mzee anaingiza pesa.

Kwenye zile nyumba vyumbani wanaweka vitanda double decker na maisha yanakwenda, kusave pesa.

Nawaheshimu sana wahindi.
 
Kama Bakhresa na wenzake wana watoto hapa jf watapata shida kurithisha viwanda vyao maana wengi wataomba kurithi nyumba kumbe za NHC.
Naona mbeleni watoto watarithishwa nyumba na wataaminishwa kuwa nyumba ni ujasiriamali.

Nyumba sio ujasirimali nyumba ni mali- asset.
 
watu wengi walioshindwa kujenga huishia kusema nyumba si lolote ....nimegundua hili ..ukweli unabaki pale pale

1.huwezi kutumia tetemeko la ardhi ambalo linatokea mara moja ndani ya miaka hata 30 ..kuamua kua nyumba sio kitu.

2. oa..zaa watoto..alafu endelea kupanga..halafu itokee mwenye nyumba ajue kuna huna hata msingi wa nyumba, atakupandishia kodi hadi ukome...utahama hama na canter hapa mjini hadi ukome.

hadi ndege wanajenga viota..ndo sembuse mwanadamu...nyumba ni kila kitu..ukishalala kwako utaelewa
 
Nyumba sio ujasirimali nyumba ni mali- asset.
In Mali "asset" kama ilijengwa kwa kulinganisha fursa mbalimbali za uwekezaji/uzalishaji mali na ikaonekana nyumba ni kipaumbele. Kama ilijengwa kwa ajili ya kuweka viti, Mesa, vitanda na kabati la vyombo tunavyopata kwenye harusi halafu familia ikalala na kuanza kuwaze kesho itakuwaje hiyo si asset.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…