Je, nyumba bado ni asset ya uhakika kuliko asset zingine zote?

Watanzania Wengi hatulipagi BIMA za Nyumba hasa nyumba binafsi na guest lodge tunadhan mpaka uwe na Gorofa ndo ulipe bima
 

Uko sawa kabisa mkuu, ndiyo maana unatakiwa kama una uwezo uwe na nyumba mbili, moja ya kuishi na ingine ya kuisaidia hii ya kuishi.
 
Watanzania Wengi hatulipagi BIMA za Nyumba hasa nyumba binafsi na guest lodge tunadhan mpaka uwe na Gorofa ndo ulipe bima

Na makampuni ya bima pia sio wabunifu wa biashara zao maana wangeweza kabisa kuuza bidhaa mbalimbali za bima kulingana na aina za wateja.
 
Oa, zaa watoto, malizia pesa yako kwenye nyumba ya kuishi, hamia halafu utumbuliwe. Watoto wakianza kuuliza mbona huendi kazini/mbona hujanunua luku/ mbona maji yamekatika n.k utajua kwamba nyumba sio asset in liability
 

Mkuu, leo nimecheka sana.

Ila umetoa ujumbe mzito.
 
kuwa na idea ya kuwa nyumba ni asset ya muhimu...........
ni uoga wa maisha tu,hamna lolote,.japo mie nipo kwangu
 
Hahaa! Huwa nacheka kimoyomoyo nikiona mfanyakazi aliyejenga nyumba za kupanga halafu akastaf akimwita mpangaji "mheshimiwa" kisa mpangaji katishia kuhama.
Labda huko kwenu ISELAMAGAZI au Kasulu ndo mwenye nyumba anamuita mpangaji mh. Huku mjini hatuishi hivo.
 
Kwa logic hio natafuta hela usiku na mchana ili iweje? Niwe na hela afu nilalie double deka, nikaenda vacation nifikie kwa ndugu? Hio kwangu haipo, siwezi kua mtumwa wa hela kiasi hicho.
 
Bado ni asset....zikikumbwa na majanga makubwa kama hayo...jamii kwa ujumla inasaidia kurebuld....lakin pia jiulize haya majanga yanatokea mara ngap katika kipindi cha uhai wako?!
Hapa Bongo nani ana-rebuild?Waameambiwa wafanye kazi sasa hapo unatarajia nini?
 
Nyumba ni assets. ..wahindi wana kaa kwenye NHC houses lakini abroad wana nyumba ambazo wanachukulia mkopo katika hizo nyumba uko abroad. ..DAKA HIYO MUHIMU. ...tusidanganyike kuwaona wana kaa kwenye viflati. .have a blessed Monday my friends. ..
 
Itakuwa bado ni asset kwa sababu haangaiki na kodi ya kila mwezi. ..
 
Hapo tunaweza kubishana bure tu kama nyumba haiingizii hela hio inakua ni liability asset ni kitu chochote kile kinachoweza kukuingizia hela duniani kuna vitu viwili asset na liability tu huwezi kuweka mfano wa huyo mmama sababu ni binadamu...
 
Bado sio asset, asset ni kitu chchote kile kinachokuingizia hela naona watu wanashindwa kuelewa kitu kidogo sana
 
Bado sio asset, asset ni kitu chchote kile kinachokuingizia hela naona watu wanashindwa kuelewa kitu kidogo sana
Haya endelea kupanga bwana Kiyosaki halafu unapiga bness ya nyanya ndoo buku moja
 
Haya endelea kupanga bwana Kiyosaki halafu unapiga bness ya nyanya ndoo buku moja
Sawa ila unatakiwa kufahamu life sio constant lina dynamics zake za kutosha leo ni buku moja kesho inaweza panda kama haipandi una diversify kwa kitu kingine kama vile kusave hela ya mshahara mwezi huu waweza sav 200,000 mwezi ujao 100,000 mwezi unaofatia ukazitumia zote ukabaki unausubiria wa mwisho wa mwezi mwingine tena...
 
Is a house an asset or liability ?


If you have a house, paid for or not, that you live in, then it can't be an asset. Instead of putting money in your pocket, it takes money out of your pocket. That is the simple definition of a liability.

By strict accounting definition, a home is an asset. It is something you own that has value. But, in reality, it is much more of a gray area than that.

If you were to ask a group of investors, many of them would say a home is a liability. Investors look at assets as things that can earn you money. If you're living in your home, as opposed to renting it out, it's not really making you money. In fact, it's really a money pit. When a water heater breaks down or the roof needs to be replaced, you're losing money quickly. This thinking, of course, differs from the true accounting definition.
 
Reactions: WFM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…