Kwahiyo ziko tupu zinasubiri serikali irudi DSM ili waingie tena?Kwani kabla ya kuhamia Dodoma, hizo nyumba za Dodoma alikuwa akiishi nani si zilikuwepo? Na walipotoka Dar wamefika na kuingia tu.
Yaani dar saivi ma TOLET mengi yapo tupu,,,, hayo mamijengo ya mawaziri ni tupu hata Wateja hamna labda km Unataka wakakae machinga
Dar ndiyo kila kitu mkuu huwanaoni kila siku wapo Dar! Wanafikia humoKwahiyo ziko tupu zinasubiri serikali irudi DSM ili waingie tena?
Wakiwa DSM wanatakiwa kulipwa per kwa siku wanakuwa nje ya mkoa kikaziWakiwa dawa wanaishi humo, wakiwa dom wanaishi lodge za pale majengo
Dar ndiyo kila kitu mkuu huwanaoni kila siku wapo Dar! Wanafikia humo
Hivi hako ka laki2 kakupangishia kivule upewe ghorofa? Unautani wewe.Waweke kodi rafiki watu tupo tutakaa 200000-300000
Kuna chama wakishinda urais watarudi magogoni hivyo nyumba zitatumika kuanzia 2025 Lissu akiwa atakapochukua nchi.
Kodi kama NHC tu si nyumba za serikaliHivi hako ka laki2 kakupangishia kivule upewe ghorofa? Unautani wewe.
Haaa haaa kumbe unajua kama wapo dar wanazunguka zunguka, basi ndiyo wanaishi humoWako humu humu wanazunguka labda Mkuchika ndio kabaki idodomya
kuna mkenya mshkaji wangu akionaga bei za nyumba kule instagrama za dsm huwa anashangaa sana jumba kali unasikia 400,000 kwa mwezi huwa namuambia real estate Tanania ni kama imekufa tangu 2016 hata frames za biashara siyo deal tena zamani kabla hata haijaisha frame watu washalipia kabisa siku hizi wadada wa kuuza urembo nguo wengi wanauzia home au kwenye magari yao wanatembezaYaani dar saivi ma TOLET mengi yapo tupu,,,, hayo mamijengo ya mawaziri ni tupu hata Wateja hamna labda km Unataka wakakae machinga
Kuna chama wakishinda urais watarudi magogoni hivyo nyumba zitatumika kuanzia 2025 Lissu akiwa atakapochukua nchi.
Baada ya serikali kuhamia Dodoma ni wazi kuwa mawaziri wote sasa wanatakiwa kuishi Dodoma jirani na ofisi zao.
Je hizi nyumba zao za mikocheni kwa sasa hivi nani anaishi humo?
Nashauri tupewe watumishi wa DSM au serikali izipangishe kwa wanachi kwa kodi ndogo ili kila mwananchi afaidi matunda ya nchi yake.
"HESLB 6% kila mwaka ni wizi"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila kuwasahau bataMkipewa hamchelewi kuanza kufugia ng'ombe na kuku
kuna mkenya mshkaji wangu akionaga bei za nyumba kule instagrama za dsm huwa anashangaa sana jumba kali unasikia 400,000 kwa mwezi huwa namuambia real estate Tanania ni kama imekufa tangu 2016 hata frames za biashara siyo deal tena zamani kabla hata haijaisha frame watu washalipia kabisa siku hizi wadada wa kuuza urembo nguo wengi wanauzia home au kwenye magari yao wanatembeza