Achilia mbali hivyo vipaza sauti na camera za siri! Mara nyingi pia huwa tunazirekodi hizo simu zenu. Kwa hiyo kuwa makini. Usiwe unapenda kumsengenya Bosi wako kwenye simu.
Wiretapping ni common practice.
Kuna "hadithi" kuwa kuna mkuu mmoja wa majeshi alikuwa wiretapped kwa amri ya Mkuu wa Nchi. Idara ya usalama jeshi ilivyo makini ikanasa sakata. Mkuu wa majeshi alikuja juu sana na kumwendea Mkuu wa nchi na kumwonya asirudie tena.
Ni "hadithi" tu
Hayati ndugai alikuwa akiogopa wiretaping mpaka wageni.wakimtembelea anaomba simu.zao za vitochi anaongea na polepole nikimnukuu polepole na riwaya zake.
Mkuu wa majita asijue kwamba kuna wiretaping na mara nyingi wale wa karibu yao ndio wanaotoa ripoti mbele. Madereva. Walinzi. Makatibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.