Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Magu alikuwa na takwimu za njiani akifika ana jiropokea tu .sijui pesa zetu za ndani leo madeni kedekede
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah we jamaa bwana[emoji16]Acha Watu Wateme Nyongo Zama za Uwimbombo Na Ulindi (Kupekecha Moto Kwenye Gogo) Zimepitwa
Sheria ya Takwimu ni draconian, ilitengenezwa ku suit matakwa ya magufuli ambaye alikuwa hataki kukosolewa. Wenye akili wanajuwa wapi watoe data bila kusubiri NBS.HuiHui tu, Sina uwezo kuipa NBS majukumu yaliyoainishwa kisheria na Sheria ya Takwimu 2019 ila kama Mwananchi niliyeipa Serikali na Taasisi zake dhamana, ni wajibu wangu kama raia wa nchi hii kuitii katiba na sheria za nchi. Hivyo basi siwezi kuitelekeza wajibu wangu alimradi ametokea mtu au watu au makundi kushindwa kuipa sheria ya nchi kipaumbele stahiki.
Ni kweli, sihitaji iniambie uchumi ukoje. Vipimo vipo vingi visivyohitaji takwimu, lakini hapa, mwanahudhuri huyo au uzi huo niliozungumzia ulielekea kupotosha, kudhihaki na hata kukiuka kanuni/sheria za utoaji na usambazaji wa Takwimu
Huihui, nikiri mengi hapo uliyoorodhesha mengi nimeyasikia aidha kutoka kwako , na kwingineko hatahivyo siwezi nikajadili hayo kwani nitakuwa natoka nje ya mada. Naamini wapo ambao watayachukua hayo na kuyafanyia kazi.
Nikuulize tu kama ulisoma uzi tajwa? na una maoni kuhusu hoja zangu kuhusiana nao....Je Ofisi ya Taifa ya Takwimu ina wajibu wa Kutoa tamko au mwongozo kuhusiana na ukiukwaji wa sheria ya nchi?
Kwa Nchi kama ya kwetu, huoni kwamba kuna umuhimu wa kujilinda, kwa sheria, kama nchi zinazoitwa 'zimeendelea' zilivyo na sheria? Haijalishi, huoni kwamba sheria imekiukwa? Kuna sheria ngapi(kwa mtazamo wako duniani) ambazo um eweza linganisha na sheria ya Takwimu Tanzania na ukaona ina dondokea kwenye hilo kundi la 'draconian'? Je, ni kipengele gani specific unachoona ni "draconian" manake haiwezejani sheria nzima ni 'draconian'Sheria ya Takwimu ni draconian
Sheria ya nchi nzima itengenezwe' ku suit' mtu mmoja? Unataka kudai kuna mtu yeyote au serikali yeyote ambayo ipo tayari kukosolewa?, ilitengenezwa ku suit matakwa ya magufuli ambaye alikuwa hataki kukosolewa
Sikubaliani na hayo juu, kwani Serikali ya Tanzania ina wajibu na jukumu la kutoa data huko....to blatantly suggesting that 'wenye' akili hutumia njia mbadala ni tusi....ni kuulize Je unaafiki na matokeo ya Sensa yaliyofanyika hivi karibuni Nchini? Je, hao wenye akili(sijui ndio nani hao)walikuwa teyari na data zao, na waliwezaje bila ya kufanya zoezi la kukusanya takwimu?. Wenye akili wanajuwa wapi watoe data bila kusubiri NBS.
Mimi binafsi, siwezi kuwataka wafanye chochote. Ni sheria ndiyo inavowataka wafanye hivyo. Mada na maudhui ya Uzi hauna objectivity na umeegemea kufanya slandering siyo kwa Hayati Raisi bali Serikali nzima ya JMT kwa madai ilitowa takwimu za kupikwa na za uongo?Sidhani kama NBS wana muda wa kufanya unachotaka
Najua unachotaka kiaminike, kuwa mimi ni mkomonisti, kiuhaliasia hakuna kitu kama hicho. Unataka kunipachika label inayotumiwa na mabeberu kudai tu umeonewa au ninamwoneaWakomunisti ndio huwa wana tabia za kupekua pekua na kufanya patrols za vitu vinavyoitwa upotoshaji na uchochozi. Huu ni mfumo mbaya sana wa kuwatisha wakosoaji na watu wenye mawazo mbadala.
Usinipachike vitu ambavyo unataka kuvipandikiza humu. Ukivunja au kukiuka sheria ndivyo hivyo, umevunja na kukiuka sheria!Ni ujima na udikteta wa hali ya juu kufikiria serikali na watawala pekee ndio chanzo cha taarifa sahihi na haiwezu kudanganya, kufanya propoganda au kupika taarifa.
Takwimu hupingwa kwa takwimu na vithibitisho vitakavyo-support takwimu husika, utawala wa Jiwe ulibana watu independent kufanya tafiti na kutoa takwimu kwa kuwa hawakutaka takwimu halisi zifahamike kwa umma otherwise wasingezuia watu/wataalam kufanya tafiti zao na kutoa takwimu na wakiamini haziko sawa basi nao watoe takwimu zao zikiambatana na vielelezo.Wakuu, Wahusika,
Ni matumaini yangu mmejaa rehema na amani Asubuhi hii katika kukabiliana na majukumu yenu. Nawaombeni muda wenu mchache kutathmini Uzi huu ili kuweza kulinusuru Taifa.
Mada: Katika kile nilchokiona kamaa ni ukiukwaji wa Sheria ya Takwimu, Statistics Act (revised 2019) Sehemu ya 26(2)(3) sehemu ndogo C inayompa/enye matakwa ya kuwa msambazaji wa Takwimu kuhakikisha anatoa takwimu hizo kwa Usawa na kutopendelea katika, kuripoti, kuwakilisha, na kusambaza matokeo ya Taarifa za Takwimu.
Siku ya Jumatano tarehe 22/2/2023 mnamo saa kumi na moja Jioni jamvini, mwanahudhuri mmoja ali bandika uzi unaodai "Hivi ndivyo Hayati Magufuli aliharibu uchumi wa Tanzania. Takwimu hazidanganyi"
Katika maudhui yake ambayo inaweza kutafsiriwa kuwa ilijengwa kuchafua Serikali ya Tanzania ya Awamu ya Hayati Raisi John Pombe Magufuli ambamo amedai ushahidi wake amedadavua kutokana na Taarifa zilizochapishwa katika jarida linaloitwa Tanzania Business Insight ambayo 'ilinukuu' taarifa za Benki Kuu Tanzania(BOT) na Ofisi ya Takwimu Tanzania. NBS au National Bureau of Statistics.
Alidai, Takwimu hizo zinabainisha awamu za mwanzo za marais wa tatu kati ya 1995 mpaka 2015. Tanzania na kuonyesha Uchumi 'uliharibiwa' na Hayati Rais J.P Magufuli... kwa maoni yangu hii ni slandering!
Walakin, kwa kile alichokiita "Majigambo" ya Serikali iliyoongozwa na Hayati Raisi na kubaini yanayodhihirisha kuwa ni upotoshaji wa Umma na Wananchi wa Tanzania na Dunia kwa Ujumla kuwa Serikali ilitunga sheria za Kidikteta ambazo zilileta changamoto kwa yeyote yule anayetaka Ku Challenge Taarifa ambazo anadai(mwanahudhuri) ni za kupikwa na Uongo, kitendo ambacho nimekiona kana Upotoshaji kana hizo taarifa ambazo zilinukuliwa BOT na Ofisi ya Taifa ya Takwimu kuwa zilipikwa na za uongo na ndio kulipeleka Serikali kutunga sheria kuficha uovu.... yaani takwimu za uongo na za kupika kwa kile nilichokiona ni kuwa ni ukiukwaji wa sehemu ya 26(2)(3) sehemu ndogo C. ya Sheria ya Takwimu(2019) na kuichafua Serikali.
Wakuu/Wahusika,
Sheria ya Takwimu inatoa na kuwapa Wajibu Ofisi ya Taifa ya Takwimu Licha kuwapa majukumu mengine, pia inawapa haki ya kupinga matumizi mabaya au tafsiri potofu ya taarifa za takwimu zinazosambazwa na mtu yeyote (hapa ni mwanhudhuri mwenzetu)ikiwa maelezo hayo ya takwimu yana makosa ya msingi au hayafuati kanuni zilizoainishwa chini ya sehemu 26(3).C
Kwa hayo, Wakuu/Wahusika utaona kuwa memba mwenzetu amekiuka siyo miongozo ya Jamvi bali hata Sheria za Nchi kwa kusambaza Matokeo ya Taarifa zilizojaa upotoshaji na za upendeleo wa Serikali na Rais aliyoko madarakani sasa. Kimsingi tafsiri potofu ya Matokeo ya Takwimu hizo.
Nawasilisha
Je, kulingana na Ukiukwaji wa sehemu ya 26(3).C pamoja na wajibu wa Idara na kifungu cha 27(1) na 27(2).b Ofisi ya Taifa ya Takwimu ina jukumu la kulitolea tamko Uzi huo? au Litoe mwongozo?
Tumekwisha kujibu maswali yako yote, kama huridhiki nenda NBS kmwambie Dr Albina Chuwa ajibu hizo hoja zako. Ukishapata jibu lilete hapa tena.Najua unachotaka kiaminike, kuwa mimi ni mkomonisti, kiuhaliasia hakuna kitu kama hicho. Unataka kunipachika label inayotumiwa na mabeberu kudai tu umeonewa au ninamwonea
Usinipachike vitu ambavyo unataka kuvipandikiza humu. Ukivunja au kukiuka sheria ndivyo hivyo, umevunja na kukiuka sheria!
Hakuna sehemu ambayo nime suggest Serikali au watawala ndio wenye taarifa sahihi au haijadanganya au haiwezi kupika takwimu.
Isitoshe katika baadhi ya mabandiko yangu humu jamvini nimekuwa nikisuta baadhi za takwimu zinazotolewa, e.g kuhusu ripoti ya samaki kufa mkoani mara baada ya kumezeshwa sumu na migodi ya dhahabu, au wale wanaodai kila kukicha ni asilimia ngapi zimebaki kufikia kilele cha kumaliza mradi wa umeme, hivyo basi, usinipachike sura au kuwapachika Watanzania wowote sura za 'Ujima' na 'Udikteta' kwa vigezo ulivyotumia, kwani hakuna Nchi au Serikali yeyote Duniani ambayo haitaweza kuwa na Ujima na Udikteta katika kutoa Takwimu zake.
Takwimu hupingwa kwa takwimu na vithibitisho vitakavyo-support takwimu husika,
Hayo ni ya kudhania tu. Hao independent ndio kina nani? Je zile takwimu zilizotoka WHO au WB au IMF wakati wa utawala wake walikuwa ni waongo, walipika zile takwimu? na wao walikatazwa kutoa takwimu sielewi.utawala wa Jiwe ulibana watu independent kufanya tafiti na kutoa takwimu kwa kuwa hawakutaka takwimu halisi zifahamike kwa umma otherwise wasingezuia watu/wataalam kufanya tafiti zao na kutoa takwimu na wakiamini haziko sawa basi nao watoe takwimu zao zikiambatana na vielelezo.
Tumekwisha kujibu maswali yako yote,
Sina ulazima wa kumtafuta, Sheria ndiyo inamtaka atolee Tamko na kama sio tamko basi anaweza kutoa mwongozo katika mitandao kuhusu uwasilishwaji wa matokeo ya Taarifa yaliyokusanywa na Idara yake.kama huridhiki nenda NBS kmwambie Dr Albina Chuwa ajibu hizo hoja zako. Ukishapata jibu lilete hapa tena.
Nyie watu sijui Magufuli aliwa brainwash na kuwa indoctrinate kwa kutumia nini. Maana mnamuabudu kama mungu wenu
Siku ya Jumatano tarehe 22/2/2023 mnamo saa kumi na moja Jioni jamvini, mwanahudhuri mmoja ali bandika uzi unaodai "Hivi ndivyo Hayati Magufuli aliharibu uchumi wa Tanzania. Takwimu hazidanganyi"
Katika maudhui yake ambayo inaweza kutafsiriwa kuwa ilijengwa kuchafua Serikali ya Tanzania ya Awamu ya Hayati Raisi John Pombe Magufuli ambamo amedai ushahidi wake amedadavua kutokana na Taarifa zilizochapishwa katika jarida linaloitwa Tanzania Business Insight ambayo 'ilinukuu' taarifa za Benki Kuu Tanzania(BOT) na Ofisi ya Takwimu Tanzania. NBS au National Bureau of Statistics.
Alidai, Takwimu hizo zinabainisha awamu za mwanzo za marais wa tatu kati ya 1995 mpaka 2015. Tanzania na kuonyesha Uchumi 'uliharibiwa' na Hayati Rais J.P Magufuli... kwa maoni yangu hii ni slandering!
Wakuu/Wahusika,
Sheria ya Takwimu inatoa na kuwapa Wajibu Ofisi ya Taifa ya Takwimu Licha kuwapa majukumu mengine, pia inawapa haki ya kupinga matumizi mabaya au tafsiri potofu ya taarifa za takwimu zinazosambazwa na mtu yeyote (hapa ni mwanhudhuri mwenzetu)ikiwa maelezo hayo ya takwimu yana makosa ya msingi au hayafuati kanuni zilizoainishwa chini ya sehemu 26(3).C
Nawasilisha
Je, kulingana na Ukiukwaji wa sehemu ya 26(3).C pamoja na wajibu wa Idara na kifungu cha 27(1) na 27(2).b za Sheria ya Takwimu
Ofisi ya Taifa ya Takwimu ina jukumu la kulitolea tamko Uzi huo? au Litoe mwongozo?
Uwepo wa hiyo Sheria unayotaka itumike ni matokeo ya uchafu wa mchafuliwa.
Kwamba umekubali uchafu wa mchafuliwa na sasa umepiga hatua moja mbele kuu taasisi na kutambua mchango wa wachafuzi washiriki?Ulitaka kusema nini kamanda?
Kwamba sheria iliyowekwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania ni Uchafu? Aaah bwana we
Haya umesomeka Mkuu
Mtu anaichafuaje Serikali ya Awamu ya 5? Mbona ilijichafua yenyewe!! Yale mauwongo na mauaji na kuvuruga uchumi yaliyokuwa yanafanyika ndiyo unataka Ofisi ya Takwimu ya Taifa ifanyeje?Siku ya Jumatano tarehe 22/2/2023 mnamo saa kumi na moja Jioni jamvini, mwanahudhuri mmoja ali bandika uzi unaodai "Hivi ndivyo Hayati Magufuli aliharibu uchumi wa Tanzania. Takwimu hazidanganyi"
Katika maudhui yake ambayo inaweza kutafsiriwa kuwa ilijengwa kuchafua Serikali ya Tanzania ya Awamu ya Hayati Raisi John Pombe Magufuli ambamo amedai ushahidi wake amedadavua kutokana na Taarifa zilizochapishwa katika jarida linaloitwa Tanzania Business Insight ambayo 'ilinukuu' taarifa za Benki Kuu Tanzania(BOT) na Ofisi ya Takwimu Tanzania. NBS au National Bureau of Statistics.
Alidai, Takwimu hizo zinabainisha awamu za mwanzo za marais wa tatu kati ya 1995 mpaka 2015. Tanzania na kuonyesha Uchumi 'uliharibiwa' na Hayati Rais J.P Magufuli... kwa maoni yangu hii ni slandering!
Wakuu/Wahusika,
Sheria ya Takwimu inatoa na kuwapa Wajibu Ofisi ya Taifa ya Takwimu Licha kuwapa majukumu mengine, pia inawapa haki ya kupinga matumizi mabaya au tafsiri potofu ya taarifa za takwimu zinazosambazwa na mtu yeyote (hapa ni mwanhudhuri mwenzetu)ikiwa maelezo hayo ya takwimu yana makosa ya msingi au hayafuati kanuni zilizoainishwa chini ya sehemu 26(3).C
Nawasilisha
Je, kulingana na Ukiukwaji wa sehemu ya 26(3).C pamoja na wajibu wa Idara na kifungu cha 27(1) na 27(2).b za Sheria ya Takwimu
Ofisi ya Taifa ya Takwimu ina jukumu la kulitolea tamko Uzi huo? au Litoe mwongozo?
Kwani SYLLOGIST! wewe ulikuwa wapi wakati yule HAYAWANI anaharibu uchumi? Au na wewe akili zako zilishikwa na Magufuli?Wakuu, Wahusika,